Ni sheria ipi itumike Kwenye hili.... ?

Kesiman9

Senior Member
Jun 23, 2016
107
250
Is it right to use Section35(3) of the Education Act of tz on the offence of impregnating a school girl?
While there is an amendment on 20/May/2016 under Section 60A of the Education Act.
Hii Nimeiona Kwenye charge sheet Ambayo imefiliwa 2017 Lakini kosa limetokea 2015.....je ni sawa kutumia sheria ya zamani Kwenye hili?
Explanation plz..
 

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
845
1,000
Boss ukitumia lugha za kwenu hatutakuelewa wengne ambao tunataka kujua msaada huo
Heading kiswahili alafu maelezo kizungu ndio nn sasa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom