Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Musa alitaka kupima uaminifu wa rafiki yake walioshibana toka utotoni. Akatunga safari. Akamwambia amepata safari ya kwenda ng'ambo, itakayochukua miaka 10 mpaka kurudi.
Akaamua kumfunga mkewe sehemu za siri kwa kufuli la chuma na kumuachia ufunguo huyo rafiki yake aitwaye Elliah, na akamwambia, 'Kama miaka 10 itapita utamfungua mke wangu na kuwa huru naye...'
Musa akaanza safari. Kabla hajafika airport, mara nyuma anaona vumbi kali, kugeuka nyuma kumbe ni rafiki yake Elliah.
Musa akamuuliza, 'kulikoni???' Elliah akajibu, 'MBONA UFUNGUO SIO WENYEWE?'