Ni sheeedah mbona...!!!?

Da huo unene na hayo makalio mbona shida. huyo hata kujisaidia anapata shida aisee. Hii hasara kweli hatakiwi kulala na mtoto mchanga huyo anaweza hatari sana
 
Last edited by a moderator:
mshana jr nimeziesabu neno 'LOVE' nimepata 52
utafiti nina hakika umekoseakosea kuhesabu na umerudia mara nyingi mno kwakuwa kila wakati macho yalikuwa yanakurudisha kwenye hatua fulani na yakawa yanang'ang'ania hapohapo
 
Last edited by a moderator:
MO11 na kabanga wako wapi aise wanapitwa huku
Huyo jamaa wa chini hapo kaishiwa na pose kabisa kashika tama kabisa
Ila aliyenogesha picha ni huyo jamaa wa t-shirt nyeupe ambaye nafikiri ni utafiti
 
Last edited by a moderator:
Aisee picha nzuri sana nimependa mashavu yake... wenzangu mmependa nini?
 
MO11 na kabanga wako wapi aise wanapitwa huku
Huyo jamaa wa chini hapo kaishiwa na pose kabisa kashika tama kabisa
Ila aliyenogesha picha ni huyo jamaa wa t-shirt nyeupe ambaye nafikiri ni utafiti

Hahahaha kaka mimi labda nilikua mpiga picha
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…