Ni sehemu gani kwa hapa Dar wanafundisha computer programming?

medisonmuta

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2014
Posts
2,449
Reaction score
1,536
Wadau ninataka kujifunza computer programming Kama vile C++,java,HTML n.k. Nimejaribu kutafuta hapa Dar lakini sijafanikiwa.Kuna sehemu yeyote hapa Dar wanafundisha hizi programs?
 
Mkuu ni kama sijakuelewa hivi, unamaanisha center au chuo!!?
 
Kwan na huku kwenye elimu ya IT kuna centers za kufundisha vitu kama hivi? Na mimi natafuta mkuu
 
Huyo jamaa anaitwa stefano yumo jukwaa hili ni programmer na mwalimu mzuri sana.
Vyuo kuna D.I.T kuna kingine kiko mikocheni jina nimesahau kinaitwaje.
Asante mkuu.Nimeingia kwenye websites yao nimefanikiwa kuziona Kozi za programming.Kesho nitaenda kuuliza ada zao ili nijue
 
Asante mkuu.Nimeingia kwenye websites yao nimefanikiwa kuziona Kozi za programming.Kesho nitaenda kuuliza ada zao ili nijue

mkuu km hutojali utanipa updates maana na Mimi na mpango WA kusoma programming kwa sasa nipo moro ILA jmosi ntakuwa nimerudi
 
kuna chuo kingine mkuu kinaitwa Unique academy. kipo posta nyuma ya mahakama ya kisutu, hicho ni chuo cha wahindi na kipo powa saana ingawa ada yao kidogo ni kubwa ila si saana. Mdogo wangu anasoma hapo computer networking (bachelor). pia kuna computer programming na short courses mbalimbal kama web design, hacking, e.t.c, pia ukajarib na hicho chuo mkuu nakuhakikishia hutojilaumu kupoteza muda na hela yako. kila la heri
 
Asante mkuu.Nitakiulizia na iko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…