ni sawa mwanaume kuowa mke mmoja?

ni sawa mwanaume kuowa mke mmoja?

Kwani Mungu alimpa Adamu wangapi?Mungu alichompa Adamu ndicho sahihi,zaidi ya hapo ni promiscuity au uzinzi .
Wakati wa Adamu kulikuwa na mke mmoja, No option, Tazama waliomfuatia walichofanya ndo sahihi
 
Toka viumbe vimeumbwa hapa duniani, mwanaume anauwezo halisi wa kutosheleza/ kuzalisha wanawake zaidi 100. Lakini mwanamke kiuhalisia hawezi kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja na kuishi Nyumba moja, ni mwanaume pekee
 
Back
Top Bottom