Mkuu hata Dar kuna watu wanahitajika kutumia sababu ngozi na especially lips tunatofautiana sana kweli hali ya hewa ni moja ya sababu lakini pia wapo watu wana scally dry lips! !!
hahahaha miss neddy acha uchokozi bana.... ICHANA usirushwe roho mydia
Majuzi apa ilikuwa wanaume kuvaa cheni..leo lip bum...naona uyu dogo benteke anajidai haijui lol
Ila sasa tunarudi kule kule kutojua matumizi yake lakini pia orthodox thinking tu kwamba nikitumia kitu flani nitakuwa "mwanamke" hata kama hatujajua faida/hasara zake.....sasa lip bum sehem za baridi na upepo mkali inasaidia sana ili mradi hupaki lip stick na sio za kung'aa sana, muhim kwa afya ya lips.
Huyo mtangazaji ni wa jinsia gani mamy?
colorless lip bum its okay, i do the same.Ndugu wanaJF,
Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja.
Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc kutakuwa na ubishi sana.
Unakuta perfume imeandikwa 'for women' lakini mwanaume kajipulizia nyingi, vitu kama simu kutegemeana na rangi twaweza kutumia wote.
Hoja yangu ni matumizi ya LIPBUM kwa wanaume.
Mimi huwa nikienda salon nikipakwa najihisi kama njiani nasemwa kwasababu sijui.
Naomba tusaidiene hapa hasa wale wanaotupaka au wanaotengeneza au wauzaji.
Lipbalm ni kwa madada tu na wabana pua mwanamme paka vaseline tu kuzuia kupasuka na gaga za midomo.
Hahahahah acha uongo ww
acha ubishi wewe
hao ndo wale hata touch screen za sim zao wanazigusa kama mashosti!Na huu upepo....acha kujipaka uone lips zinavokuwa kama kisigino
mi sioni shida ila zisiwe za rangi kama wanazopaka kina ommy dimpoz na wabana pua wenzie
Weka picha
wa kiume my dia..anatangaza tv ya mawingu...lipstick ya pink kabisa imekolea vizuri yani