Ndugu wanaJF,
Kuna baadhi ya vitu huwa vinatumiwa tu na wanawake, lakini pia vipo vinavyotumiwa na wanaume tu, japo vipo ambavyo twaweza kutumia pamoja.
Sitaki kuzungumzia perfume maana nahc kutakuwa na ubishi sana.
Unakuta perfume imeandikwa 'for women' lakini mwanaume kajipulizia nyingi, vitu kama simu kutegemeana na rangi twaweza kutumia wote.
Hoja yangu ni matumizi ya LIPBUM kwa wanaume.
Mimi huwa nikienda salon nikipakwa najihisi kama njiani nasemwa kwasababu sijui.
Naomba tusaidiene hapa hasa wale wanaotupaka au wanaotengeneza au wauzaji.