Ni sawa kwa eto'o kuondoka darajan

Ni sawa kwa eto'o kuondoka darajan

RUGE12

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
19
Reaction score
0
habar JF ningependa kuzungumzia kuhusu etoo kuhusu perfomance yake ya hivi karibuni ni haki kwake kuondoka chelsea au anastahili mkataba mpya darajan
 
Hapana aondoke; mechi ngumu ya kuitaji matumizi ya nafasi chache na finyu hawezi kufunga
 
Eto'o ni mchezaji mzuri sana; Juzi tulipowafunga Man Utd 3-1. Eto'o alipiga mashuti 4 tu golini kwa Manchester United, mashuti 3 yakawa magoli, shuti 1 tu ndo likapotea.
Mechi zote ngumu alizocheza amefunga: Mechi na LIverpool pia alifunga; ana magoli 6 hadi sasa. Kulingana na utaratibu wa Chelsea; mchezaji mwenye umri zaidi ya miaka 30 anapewa mkataba wa mwaka 1, unaongezwa mkataba kulingana na kazi yako; mwishoni mwa msimu atakuwa huru, kama Chelsea wataridhika na kazi yake wanaweza kumwongeza mkataba. Hata Frank Lampard ana mkataba wa mwaka 1, Ashley Cole pia. Huu ndo utaratibu wa Chelsea FC.
Hapana aondoke; mechi ngumu ya kuitaji matumizi ya nafasi chache na finyu hawezi kufunga
 
Perfomance ya Eto'o iko vizuri na inaimarika siku hadi siku!
Ni vema aongezwe mkataba na pia kuna mengi Zaidi mazuri Huyu Eto'o anaweza akafanya! Tutegemee kumuona akijituma Zaidi. Na pia ukita ujilizishe Zaidi unaweza ukayatafuta maelezo ya Mourinho uone alisema Nini baada ya game ya Man Utd Kati ya Eto'o na Torres?
 
habar JF ningependa kuzungumzia kuhusu etoo kuhusu perfomance yake ya hivi karibuni ni haki kwake kuondoka chelsea au anastahili mkataba mpya darajan

bora aende,hilo daraja lenu bovu lisije likamdondokea bure
 
Back
Top Bottom