englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
Huyu Mzee anaonekana alipenda sana Gari za Mgongo wa Chura enzi zake... Kama Baba yangu alikuwa nazo Tatu Model zote dah... nilikuwa nachukia sana... Gari hazina uhakika wa Safari.... spana unatembea nazo...