Kuna aliyesema kumiliki chainsaw ni kosa la jinai. Mambo haya unayafanya shambai kwako. Unakata mti mmoja tu na matawi yanakua kuni. Shina linatengeneza furniture. Unaweza kukata mti mmoja kila baada ya miezi sita lakini unapanda mitano kila mwezi.