Ni sahihi Nyerere kuitwa baba wa Taifa?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Najua ni jambo ambalo wengine hawatopenda hata kulisikia lakini ni maoni
na mtazamo wangu tu!

Binafsi naona ni sahihi nyerere kuwa baba wa CCM na
si baba wa Taifa, kama angekuwa baba wa Taifa ulipoanza mfumo wa Vyama vingi
ilibidi asiegemee upande wowote kama alivyofanya. Matokeo yake ya kukumbatia
chama cha mapinduzi ndio haya ya mafisadi waliojazana serikalini.

Nawasilisha!
 
You might be somehow right, lakini Nyerere tunamuita baba wa Taifa kwa uzalendo aliouonyesha kwa nchi yake. Hata kama angelikuwa rais kutokea mgombea binafsi, akionyesha uzalendo uliotukuka kama wa Nyerere,basi tutampa heshima hiyo. Na alitoa msimamo kuwa kama CCM ikiendelea na ushenzi, atahama maana CCM siyo mama yake. Hiyo ni kauli yake. Sio kama akinawaliomfuatia wanaofanya rooting!!!
 
Hii kauli nilikuwa sijaipata mkuu, nashukuru kwa jibu zuri la
kistaarabu.
 
kumbuka pia kuwa Nyerere ndie aliyeshinikiza CCm ikubali mfumo wa vyama vingi hata baada ya kura ya maoni iliyopigwa kuonyesha asilimia kubwa sana ya wananchi wakati huo walipendelea mfumo wa chama kimoja,fuatilia hotuba zake uone alivyoutetea mfumo huo.
 
ANASTAHILI KWA KUWA ALIONYESHA UJASIRI NA UZALENDO WA HALI YA JUU KATIKA KUIONGOZA NCHI YETU,SI WATU WOTE WANAOISHABIKIA CCM NI MAFISADI NA WALI SI WOTE WANAISHABIKIA CDM SI MAFISADI.Watanzania inabidi tuelewe hili!
 
Kila nchi kuna founding fathers - Tanzania ndio huyo Nyerere, JK. Atakumbukwa kwa mchango wake na uzalendo wake. Ndio maana huoni Mwinyi, Mkapa, na JK akimaliza hawatakumbukwa hivyo..... Michango yao ni tone dogo sana - tena km J Kikwete ni tone hasi katika bahari.......
 
Najua ni jambo ambalo wengine hawatopenda hata kulisikia lakini ni maoni
na mtazamo wangu tu!

Binafsi naona ni sahihi nyerere kuwa baba wa CCM na
si baba wa Taifa, kama angekuwa baba wa Taifa ulipoanza mfumo wa Vyama vingi
ilibidi asiegemee upande wowote kama alivyofanya. Matokeo yake ya kukumbatia
chama cha mapinduzi ndio haya ya mafisadi waliojazana serikalini.

Nawasilisha!

Hastahiki hata chembe kuitwa baba wa taifa. Ni baba wa CCM, kama uzalendo kuna watu wengi walioonyesha uzalendo na waliopigania uhuru kuliko Nyerere leo hawatajwi kabisa. Sina uhakika lakini kuna wanaodai historia ya Tanzania ilipotoshwa
 
Kuanzisha thread kama hii inakupasa kuwa na roho ngumu lakini binafsi nadhani ni muhimu huu mjadala kuibuliwa.
Nasikilizia baadae nitarudi huku kutoa mtazamo wangu
Najua ni jambo ambalo wengine hawatopenda hata kulisikia lakini ni maoni
na mtazamo wangu tu!

Binafsi naona ni sahihi nyerere kuwa baba wa CCM na
si baba wa Taifa, kama angekuwa baba wa Taifa ulipoanza mfumo wa Vyama vingi
ilibidi asiegemee upande wowote kama alivyofanya. Matokeo yake ya kukumbatia
chama cha mapinduzi ndio haya ya mafisadi waliojazana serikalini.

Nawasilisha!
 
yaani Nyerere aliogopwa akiwa hai kuna wanaomgwaya hata baada ya kuaga dunia. duh kweli wamemtukuza
 
Muheshimu mama yako ismuite baba..

Muite Rais Mstaafu, Rais wa Kwanza, Mheshimiwa, Mtakatifu name it...

Lakini baba ni mtu aliye lala na mama yako
 
Anastahili au hastahili ni suala la mjadala tu. Hata hivyo, ni bahati mbaya kwamba historia imeshaandikwa, hatuwezi kuifuta. Nyerere ni baba wa taifa.
 
Kuanzisha thread kama hii inakupasa kuwa na roho ngumu lakini
binafsi nadhani ni muhimu huu mjadala kuibuliwa.
Nasikilizia baadae nitarudi huku kutoa mtazamo wangu
Mkuu tunasubiri mchango wako hapa usiogope ni mtazamo tu!
 
Back
Top Bottom