Ni sahihi ninachokifikiria??


Mimi nilidhani unaongelea mme mtarajiwa, kumbe ka bf. Haina haja kusumbua akili yako, mana ka bf kakisha kula tu kanaondoka zako, navyo jua mlango kama unaingiliwa sio kisheria majambazi wengi tu watapita.
 
yani we unalalamika mwanaume na mwanamke mko sawa kiumri wakati mi tangu nianze mahusiano sijawahi kuwa au kumpenda msichana ambaye si tu wa chini ya umri wangu bali hata wakuwa sawa kiumri .wote wamenizidi miaka miwili mitatu mmoja.........na mbona tukawa tunapendana na kuheshimiana kama kawa.......sema huwa tunaachana kwa mambo mengine tu ila sio heshima au umri ukawa tatz0
 
ungeweza kunipa namba ya huyo mpenzi wako ningemfundisha maneno ya kukwambia ....naamini wala usinge anzisha hii sred na wala usingekuwa na hofu juu ya hilo
 
ungeweza kunipa namba ya huyo mpenzi wako ningemfundisha maneno ya kukwambia ....naamini wala usinge anzisha hii sred na wala usingekuwa na hofu juu ya hilo

Mwaga madesa hapa hapa mkuu.... hahaha
 
Sidhan kama umri ni tatizo , ila kinachotakiwa ni maelewano na majukumu. Maana hata mwanaume akimzidi mwenzi wake miaka 5 au 10 au zaidi anaweza asimsalimie shikamoo ukizingatia kuna kale kausemi ka 'baby mambo' sasa kama binti anamuita mzee ambaye sawa na babu yake baby mh
 

Kama yangekuwa sahihi matatizo yasingekuwepo ktk ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Beckam uwa anaichomoa shikamoo kwa Posh na maisha yanaenda.
uko sawa kabisa; hakuna furaha kama mke wako kukusalimia shikamoo baba. nawe ukajibu marhaba mamaa - hujambo. wanaolingana wanasalimiana mambo / he vipi utafikiri wahuni flani vile
 
Hao waliokua wamekuzidi umri nazungungumzia x zako wamekufikisha wapi???? Sometimes nashangazwa sana na reasoning capacity yenu wadada??? Umri siyo kigezo kabisa.... Love doesnt ask why!!!!!!!
 
we koku si ndio ulikuwa unalalamika kuwa jamaa ukimuomba dusherere hak
yah,from april nmemsubr sana kwa kumheshm koz nlitegemea angenambia kma nlimkwaza.Mayb sio rizk kma wajumbe walivochangia.Nmeamua kua na mtu but uyu anaetaka niwe gf wake tatzo tunalingana umri inanpa shda kdogo
 
matatizo hayakosekani katika ndoa yoyote ila kwa kuwa binadamu wote hatujakamilika,lakini yapo yale yenye unafuu na yale yanayoweza kukufanya ukajuta maisha yako yote.
Kama yangekuwa sahihi matatizo yasingekuwepo ktk ndoa.
 

thnx jaman kwa evdence
 
Wanakubania hawa. Mbona yule mama mbunge wetu ana miaka 60 na kaolewa na mume ana miaka 26? Age aint nothing banaa
 
you made a point, mtoa mada zingatia hii
 
Mmmmmh! Wakati wewe umejichokea mwenzio ndio kwaaanzaaa inasimama muda wote kha!! Subiria wataalamu waje!!
sijakuelewa vizuri hapo kwenye bold, ufafanuzi tafadhali
 
nice..vipi kama anaekuzidi umri alikutreat vibaya,madharau n all...halafu akatokea mnaekaribiana sana umri almost kulingana na akawa anakupenda na kukutriti vizuri...utajali suala la umri?
for me,umri sio kigezo kikuubwa
 
yeah you are right mwallu na ndio maana pale mwishoni nilimalizia kwa kumwambia kuwa si mara zote mambo yaweza kuwa hivyo,meaning unaweza hata kuwa na aliyekuzidi umri na mambo yakawa hovyo na ukawa na mliyenaye sawa na mambo yakawa sweetest ever.
nice..vipi kama anaekuzidi umri alikutreat vibaya,madharau n all...halafu akatokea mnaekaribiana sana umri almost kulingana na akawa anakupenda na kukutriti vizuri...utajali suala la umri?
for me,umri sio kigezo kikuubwa
 
Last edited by a moderator:
Wala usikatishwe tamaa mdada,eti mwanamke anawahi kuzeeka so what!na hii fomula kua ni lazima mwanamke azidiwe umri sijui ni kitabu gani kinachoelezea hii kitu!huo umri hauna tatizo kabisa ni kujitambua kwenu tu kama mmejichagua na mnaamini mtafiki go ahead dada!kiroho safi!
 



Wakora waitu Kokubanza, age is nothing bhana its just numbers. True love haitegemei na age. Binafsi sioni tatizo la nyie kulingana umri as long as mnapendana. What matters most ni do you really love him na yeye anakulove sameway???
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…