Ni sahihi mtoto kushuhudia?

Ni sahihi mtoto kushuhudia?

Switone

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
120
Reaction score
47
Hiv ni sahihi mtoto kuona baba na mam yake wanafanya mapenzi? Mtoto wa miaka miwil,.Hajui hata kuongea vizuri, Kwa huu umri atakuja kukumbuka alichoona?
 
Yaani mtoto wa miaka miwili unakwenda kufanya ngono mbele yake? Huyo ataathrika kwa kureact alichokiona tangu utoto wake.
 
nadhan sio sahihi watoto wenyewe wa siku hizi miaka miwil tayar maneno kibao
ila sasa wanajamvi kama ni kule kwetu@tandale ambako ni one room mkitaka kugegedana itakuaje hapo
 
watoto wanajua kuumbua jamani subiri aje akuumbue utatia akili khaaa sipati picha mnapokuwa mnagegedana mtoto anapotoa macho na pengine kushangilia :heh:
 
Kujiheshimu ni muhimu sana, hata kama una hamu kiasi gani subiri alala au aende kucheza ndo mfanye
 
Duuuuh_kweli hii kali,yaani kweli unagegeda huku mtoto anaona....?...ni zaidi ya mbaya.
 
nadhan sio sahihi watoto wenyewe wa siku hizi miaka miwil tayar maneno kibao
ila sasa wanajamvi kama ni kule kwetu@tandale ambako ni one room mkitaka kugegedana itakuaje hapo

hapo ni kimya kimya hakuna miguno wala nini, kukosa pesa mbaya sana jamani!
 
  • Thanks
Reactions: amu
nadhan sio sahihi watoto wenyewe wa siku hizi miaka miwil tayar maneno kibao
ila sasa wanajamvi kama ni kule kwetu@tandale ambako ni one room mkitaka kugegedana itakuaje hapo

Ukitaka kumchinja kobe, timing muhimu.....Huku kwetu watoto wanaachiwa kucheza siku nzima kama kuku wa kienyeji ili by sasa 2 usiku wawe hoi kwa usingizi kiasi cha kuwalaza hata chini wakati wazazi wakiendelea na Sindimba.
 
Mmmmhhh..ni mtihani..Akilala mkianza anashtuka na hatak kulal pemben..yey ni katikati tu..Na mkiwepo ndani hatak kucheza mbal na nyie..

hahaaa umenichekeshaje Switone hapo ni mtihani na hapo hamu ya kugegedana inakuwa juu ile mbaya
watoto kama hawa wapo jaman huku kwetu
 
Last edited by a moderator:
Mimi hata dogo wa chini ya mwaka akiwa macho zoezi linaahirishwa...watoto wanaelewa japo hawasemi, ndg waogope watoto waweza kukuumbua mbele ya kadamnasi.
 
PG VL
Hapa hata wale over 18 hawaruhusiwi kuangalia live game, hivyo tuwatendee haki watoto kama mazingira ni magumu ni bora game zichezwe wakati watoto wamelala.
 
Back
Top Bottom