Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
Likwanda watoto wengine unaeza sema wamelala kumbe wanafatilia game linavyoendelea na ukjifanya kumshtua ndo anajifanya anakoroma ile mbaya.....PG VL
Hapa hata wale over 18 hawaruhusiwi kuangalia live game, hivyo tuwatendee haki watoto kama mazingira ni magumu ni bora game zichezwe wakati watoto wamelala.
Last edited by a moderator: