Wanawake elfu nane tena vigoli sio wale waliokomaa kwenye shindano la Maimatha Clouds TV wanaandamana kuwa hawana wa kuwaoa sasa wewe unatafuta headache kwa kuwowa mwanamke mwenye watoto unategemea usaidiwe nini hapo.Lazima aendelee kuwasiliana na shemeji zake maana si ana mtoto wao hata kama ukiamua kumpeleka mtoto kwa baba yake bado kuna connections tuJe ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.
Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.
Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?
tupa kule pressure za nini.
Je ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.
Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.
Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?
inategemeana na jinsi mnavyoaminiana but kama wana nia nzuri kwa nini wasije home kwako wanaogopa nini ila mafichoni huko sio kuzuri mambo mazuri hufanyika kwa uwazi ikiwezekana akupe taarifa coz dunia imechafukaJe ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.
Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.
Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?
Handsome unaoaje mtu aliezaa na mtu mwngine? Mmh tunatofautianaJe ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.