handsome1
Senior Member
- Jul 16, 2013
- 183
- 24
Je ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.
Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.
Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?
Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.
Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?