ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 19,727
- 45,212
Hao imetokea wamewezana sijui kamshikaje masikio nikimwambia haelewi sasa mimi nifanyaje nimkubali tu aendelee kula na hio nyumba nishatoa kodi ya miezi sitaUkitaka wanawake wagombane washee jiko
Si sahihi kuoa mwanamke ambaye hujamjua vizuri, si sahihi zaidi kuoa mwanamke ambaye hujamjua vizuri halafu ukaishi naye nyumba ya kupanga.Assume una mke mdogomdogo mama wa nyumbani na bado hamjapata mtoto, sasa mnaishi kwenye nyumba moja mko wapangaji wawili tu; yaani mtu na mkewe ambao hawana pia mtoto ila wenyewe hawana kazi ya kipato cha kati, wanaunga unga maisha yaendelee.
Mara nyingi mume wake anatoka asubuhi anarudi usiku leo kapata kidogo kesho kakosa nyakati nyingi hamuachii mkewe hela yoyote ya mezani.
sasa wewe kipato chako sio haba sana unapata salary mpaka ya kuwa na na uwezo wa kununua vitu vya jumla ukaweka ndani mchele, mafuta, unga, gas,nyanya,vitunguu na kadhalika.
Sasa inaibuka tabia ya mkeo kuanza ku share kupika na yule mdada mpangaji..na mke anakutamkia wazi kabisa kwamba wanashirikiana kupika jirani yake huyo ananunua mboga na viungo vya mchana halafu mimi tanunua mboga za usiku.
Anadai kwamba hata kwao kijijini ulimpomtoa huwa wanapika na wifi yake wanakula pamoja na kwamba hajazoea maisha ya choyo. Anadai niwaache waendelee kushirikiana kwa sababu chakula cha kula mwenyewe hakimnogei ikumbukwe me huwa natoka asubuhi na mchana nakula kazini narudi usiku tu.
swali langu wakuu wenye uzoefu mnaonaje je hapo hakuna kuhujumiana kweli maana me nahisi kwa uwezo wangu ndo natoa mchango mkubwa sijawahi kuona wao wanunue vitu kwa jumla.
Je, nimkubalie mke wangu tu alivyozoea kumsaidia jirani yake? Maana kweli kuna siku za kuishiwa pengine jirani yake atamsaidia pia chakula alichonach,o ila sasa roho inauma maana nahisi kama mke wangu hana uchungu na maisha yalivyo magumu; anahisi me napata hela nyingi huku kazini.
Hali hio ni ya kawaida kweli kwa mke kusaidiana kupika na kuosha vyombo na mpangaji mwenzake wa pekee na umri wa mke ni miaka 18.
Mkuu sasa mimi nifanyeje maana nikishanunua vitu labda vya 150000 nabaki na kaakiba changu na vile vile hapa kati nasafiri sana kwenda field inaweza ikatokea week mbili haupo sasa yale manyanya uliyonunua yanaweza kuoza ndo maana ili ku ya rescue mke anaona wapike na mwenzakeWewe umeshindwa kusimama Kama mwanaume Kwenye nyumba yako, mke wako ndo anayefanya maamuzi Kwenye nyumba yenu na wewe umekubali kuendeshwa.
Eeh bana zinduka haraka kabla hujapigwa na kitu kizito kichwani, unatakiwa usimame Kama mwanaume Tena kichwa Cha nyumba yako.
Mkuu sasa mimi nifanyeje maana nikishanunua vitu labda vya 150000 nabaki na kaakiba changu na vile vile hapa kati nasafiri sana kwenda field inaweza ikatokea week mbili haupo sasa yale manyanya uliyonunua yanaweza kuoza ndo maana ili ku ya rescue mke anaona wapike na mwenzake
Ana maisha ya kuungaunga. Lini mtaacha dharau nyie?Assume una mke mdogomdogo mama wa nyumbani na bado hamjapata mtoto, sasa mnaishi kwenye nyumba moja mko wapangaji wawili tu; yaani mtu na mkewe ambao hawana pia mtoto ila wenyewe hawana kazi ya kipato cha kati, wanaunga unga maisha yaendelee.
Mara nyingi mume wake anatoka asubuhi anarudi usiku leo kapata kidogo kesho kakosa nyakati nyingi hamuachii mkewe hela yoyote ya mezani.
sasa wewe kipato chako sio haba sana unapata salary mpaka ya kuwa na na uwezo wa kununua vitu vya jumla ukaweka ndani mchele, mafuta, unga, gas,nyanya,vitunguu na kadhalika.
Sasa inaibuka tabia ya mkeo kuanza ku share kupika na yule mdada mpangaji..na mke anakutamkia wazi kabisa kwamba wanashirikiana kupika jirani yake huyo ananunua mboga na viungo vya mchana halafu mimi tanunua mboga za usiku.
Anadai kwamba hata kwao kijijini ulimpomtoa huwa wanapika na wifi yake wanakula pamoja na kwamba hajazoea maisha ya choyo. Anadai niwaache waendelee kushirikiana kwa sababu chakula cha kula mwenyewe hakimnogei ikumbukwe me huwa natoka asubuhi na mchana nakula kazini narudi usiku tu.
swali langu wakuu wenye uzoefu mnaonaje je hapo hakuna kuhujumiana kweli maana me nahisi kwa uwezo wangu ndo natoa mchango mkubwa sijawahi kuona wao wanunue vitu kwa jumla.
Je, nimkubalie mke wangu tu alivyozoea kumsaidia jirani yake? Maana kweli kuna siku za kuishiwa pengine jirani yake atamsaidia pia chakula alichonach,o ila sasa roho inauma maana nahisi kama mke wangu hana uchungu na maisha yalivyo magumu; anahisi me napata hela nyingi huku kazini.
Hali hio ni ya kawaida kweli kwa mke kusaidiana kupika na kuosha vyombo na mpangaji mwenzake wa pekee na umri wa mke ni miaka 18.
Hujaelewa...yaani sio mara zote utapata kazi za site sometimes unapigwa benchi mwezi hujatoka ndo kipindi umenasa hula hela na vyakula vimeisha changamoto za maisha si unazijua so nalalamikia kile kipindi kweli nimefulia kabisa au n8na madeni ya kulipa.Wewe huna akili tena bwabwa bwabwa kwasababu kama umekubalina na hali yanini kuja hapa kulalamika na kuomba ushauri unatak ushauri gan?
Sio sahihi maisha magumu sana mimi ex wangu tulishindwana hivy ukimpa pesa anaend kwa shots zake na kuaza kuwatambishia ukimnunulia ngua kesho unakuta kava shoga yake tumeachana siwez hudumia wanawake wawil af mmoja analiwa na mwingine
Hujaelewa...yaani sio mara zote utapata kazi za site sometimes unapigwa benchi mwezi hujatoka ndo kipindi umenasa hula hela na vyakula vimeisha changamoto za maisha si unazijua so nalalamikia kile kipindi kweli nimefulia kabisa au n8na madeni ya kulipa.
Nisingependa kutumia neno hilo ila inabidi just imagine bwana ni bodaboda ila wa day worker anaweza kupita week hajapata chombo na mwanamke hana biashara yoyoteAna maisha ya kuungaunga. Lini mtaacha dharau nyie?
watu mliofanikiwa mna dharau sana
Yaan hapo tyuuh kanichoshaaaa.Ana maisha ya kuungaunga. Lini mtaacha dharau nyie?
watu mliofanikiwa mna dharau sana