Its not abt dna my dear
The moment umedonate mayai yako na umesign fomu..... hao watoto sio wako
Huwezi kuwa na power over them
Yaani inabidi uwatizame toka mbaaaaaliiii( unless mama watoto akubali uwe nao karibu)
Usisahau huwezi jua kati ya 3 wepi wako...inabd uwapende sawa