Ni sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo badala ya kumnyonyesha maziwa ya mama?

nitaelewa,kwani utaweka kwa ajili yangu,au na wengine wakusome,wewe shusha tu hizo research,lol
The Risks of Not Breastfeeding for Mothers and Infants

Alison Stuebe, MD, MSc

Additional article information

Abstract
Health outcomes in developed countries differ substantially for mothers and infants who formula feed compared with those who breastfeed. For infants, not being breastfed is associated with an increased incidence of infectious morbidity, as well as elevated risks of childhood obesity, type 1 and type 2 diabetes, leukemia, and sudden infant death syndrome. For mothers, failure to breastfeed is associated with an increased incidence of premenopausal breast cancer, ovarian cancer, retained gestational weight gain, type 2 diabetes, myocardial infarction, and the metabolic syndrome. Obstetricians are uniquely positioned to counsel mothers about the health impact of breastfeeding and to ensure that mothers and infants receive appropriate, evidence-based care, starting at birth.

Key words: Breastfeeding, Antenatal care, Infant health outcomes, Lactation
Health outcomes differ substantially for mothers and infants who formula feed compared with those who breastfeed, even in developed countries such as the United States. A recent meta-analysis by the Agency for Healthcare Research and Quality reviewed this evidence in detail1:

  • For infants, not being breastfed is associated with an increased incidence of infectious morbidity, including otitis media, gastroenteritis, and pneumonia, as well as elevated risks of childhood obesity, type 1 and type 2 diabetes, leukemia, and sudden infant death syndrome (SIDS).
  • Among premature infants, not receiving breast milk is associated with an increased risk of necrotizing enterocolitis (NEC).
  • For mothers, failure to breastfeed is associated with an increased incidence of premenopausal breast cancer, ovarian cancer, retained gestational weight gain, type 2 diabetes, and the metabolic syndrome.
These findings suggest that infant feeding is an important modifiable risk factor for disease for both mothers and infants. The American College of Obstetricians and Gynecologists (ACOG) therefore recommends 6 months of exclusive breastfeeding for all infants.2 The American Academy of Pediatrics (AAP)3and the American Academy of Family Physicians (AAFP)4similarly recommend exclusive breastfeeding for the first 6 months of life, continuing at least through the infant’s first birthday, and as long thereafter as is mutually desired. The World Health Organization (WHO) recommends at least 2 years of breastfeeding for all infants.

In the United States, breastfeeding durations fall far short of these guidelines.5 In 2005, 74.2% of US infants were breastfed at least once after delivery, but only 31.5% were exclusively breastfed at age 3 months, and just 11.9% were exclusively breastfed at age 6 months. These rates show considerable regional variation, with the highest rates in the Pacific Northwest and the lowest rates in the Southeast. Although some of this variation reflects cultural differences, recent data suggest that variations in hospital practices account for a considerable proportion of disparities in breastfeeding duration.6 This suggests that improvements in the quality of antenatal and perinatal support for breastfeeding could have a substantial impact on the health of mothers and infants.

This article reviews the health risks of not breastfeeding, for infants and for mothers, as well as the obstetrician’s role in counseling women regarding infant feeding and ensuring an optimal start for breastfeeding at birth.

The Risks of Formula Feeding Versus the Benefits of Breastfeeding
Public health campaigns and medical literature have traditionally described the “benefits of breastfeeding,” comparing health outcomes among breastfed infants against a reference group of formula-fed infants. Although mathematically synonymous with reporting the “risk of not breastfeeding,” this approach implicitly defines formula feeding as the norm. As several authors have noted,79 this subtle distinction impacts public perceptions of infant feeding. If “breast is best,” then formula is implicitly “good” or “normal.” This distinction was underscored by national survey data showing that, in 2003, whereas 74.3% of US residents disagreed with the statement: “Infant formula is as good as breast milk,” just 24.4% agreed with the statement: “Feeding a baby formula instead of breast milk increases the chance the baby will get sick.”10
 
Article ni ndefu mno nimeshindwa kuiweka yote. Lakini kama hunyonyeshi unaongeza pia risk ya kupata breast cancer na ovarian cancer
 
Ni kweli maziwa lishe ni gharama tena sana lakini thamani yake si sawa na maziwa ya mama na hayana chemistry sawa na maziwa ya mama.
Nimeshangaa sana mtu anapolinganisha maziwa ya mama na fomula!! Watu wengi wanatumia maziwa ya kopo kama option mbadala lakini haiwezekani yawe sawa na ya mama. Mwisho tutasikia maziwa ya ng'ombe ni sawa na ya mama...Endelea kutoa darsa mkuu, safi sana.
 
Nimeshangaa sana mtu anapolinganisha maziwa ya mama na fomula!! Watu wengi wanatumia maziwa ya kopo kama option mbadala lakini haiwezekani yawe sawa na ya mama. Mwisho tutasikia maziwa ya ng'ombe ni sawa na ya mama...Endelea kutoa darsa mkuu, safi sana.
Asante sana
 
hio ni nyumbani kwako na mkeo,its all about choices kama wewe a mke wako mliamua hivyo basi ni sawa,ila msitake wote tufanane na nyie,maziwa ya kopo mfano SMA ni mazuri na mtoto anakua na afya njema tu,kama ilivyo experience yenu,ndivyo na mimi nina experience ya kuona watoto kibao wanakua na maziwa ya kopo........tchao
Rebeca 83 wewe mbishi sana mamii maziwa ya mama ni natural sio sawa na artificial na hata katika kumkuza mtoto inatakiwa exclusive breast feeding kwa miezi 6. Hata katika ukuaji mzuri wa akili ya mtoto maziwa ya mama ni bora sana kuliko ya kopo wala ya ng'ombe tusiwadanganye wengine kuwa eti Lactogen na products za Nestle zinaweza kuwa bora kuliko maziwa ya mama.
 
Si mtaalam wa mambo hayo.ila kumpa mtoto maziwa ya ng'ombe kumwandaa kuwa na tabia za Ng'ombe.
Tujiulize vitabu vya dini vimeshauri nini kuhusu hilo.au jamii zinafanya nini ikitokea mama mzazi amefariki au ana matatizo wanafanyaje.Baada ukija ona mtoto wanafanya mapenzi na dada yake au kakayake usije humu JF kiomba ushauri.
Ushauri wa bure
hairishe mwaka wa masomo.Pengine Allah kampagia mtoto huyo tu ambaye anaona bora notes kuliko mtoto.
 
Rebeca 83 wewe mbishi sana mamii maziwa ya mama ni natural sio sawa na artificial na hata katika kumkuza mtoto inatakiwa exclusive breast feeding kwa miezi 6. Hata katika ukuaji mzuri wa akili ya mtoto maziwa ya mama ni bora sana kuliko ya kopo wala ya ng'ombe tusiwadanganye wengine kuwa eti Lactogen na products za Nestle zinaweza kuwa bora kuliko maziwa ya mama.

Mamii nimewaacha muendelee na mjadala wenu,infant formular milk ina virutubisho vyote na pia sio kweli kuwa kuna digestion issues,haya maziwa kama hamjui yamegawanywa kuanzia 0-3 months,3-6 months,etc ukifuata kila kitu hakuna tatizo,kisha hizo articles zimeandikwa na watu wa developed countries,wana JF watasema hapa kama kuna mtu ananyonyesha nchi hizo????,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kuna kitu kinaitwa belief bias,tendency ya kureason kutokana na pior beliefs,ndicho nakiona hapa,mtabisha kufa sababu ni kitu tumekua nacho,tukikutana na issue zinacontradict with our beliefs then tunakuwa confused na kumuona Rebeca mbaya hapa…………lools
 
Inamaana hakuna likizo za uzazi au ulafi wa Pesa ndio kumnyima mtoto haki yake kiafya.....Mtoto anyonye maziwa ya mama bila kitu kingine chochote angalau 6 months....vinginevyo labda kuwe hakuna namna ingine mf kiafya(HIV) Kuwa mahututi
 
Mamii nimewaacha muendelee na mjadala wenu,infant formular milk ina virutubisho vyote na pia sio kweli kuwa kuna digestion issues,haya maziwa kama hamjui yamegawanywa kuanzia 0-3 months,3-6 months,etc ukifuata kila kitu hakuna tatizo,kisha hizo articles zimeandikwa na watu wa developed countries,wana JF watasema hapa kama kuna mtu ananyonyesha nchi hizo????,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,kuna kitu kinaitwa belief bias,tendency ya kureason kutokana na pior beliefs,ndicho nakiona hapa,mtabisha kufa sababu ni kitu tumekua nacho,tukikutana na issue zinacontradict with our beliefs then tunakuwa confused na kumuona Rebeca mbaya hapa…………lools
Unaposema hizo articles ni kwa watu wa developed countries basi kama unajua logic basi hata maziwa ya kopo yanatakiwa yawe ni kwa watu wa developed countries kwa sababu hata chemistry ya kutengeneza maziwa ya kopo ilianzia kwa hizo developed countries. Kwa upande mwingine tafiti kuhusu umuhimu wa breast feeding pia zinafanywa na zimefanyika katika developing countries pia. Kuhusu digestion ya formula milk vs breast milk ni kwamba maziwa ya kopo hayako easily digested kama maziwa ya mama na ndio sababu watoto wanaokunywa maziwa ya kopo wako na increased risk ya kupata constipation na gastric upset. Kwa mama asiye na maziwa ya kutosha anaweza tumia milk formula lakini hiyo haifanyi milk formula kuwa sawasawa na maziwa ya mama. Kama mama una maziwa ya kutosha na hutaki kunyonyesha kwanza wewe mama mwenyewe unajiongezea risk ya kupata premenepausal cervical and breast cancer, breast engorgement and mastitis na pia kwa mtoto anakuwa na increased risk ya morbidities kama pneumonia, ear infection, meningitis na diarrhoea.
 
wewe afadhali mie ngumbaru,kuliko weye unayejiita mtaalamu mwenye kasumba za mwaka 47! i,nimekuambia leta report ya WHO,ambayo inaonyesha watoto kufa kisa wamekunywa maziwa ya kopo,naona unambwela mbwela tu,hizo antibodies kama maziwa ya kopo hayanazo tungeskia vifo vingi tu vya watoto, kama unavyodai hayana antibodies,..........mmmnh wewe endelea tu kujidhalilisha mara WHO sijui Paediatrician,hahahaaaaaaaaa
Kabla ya kuongelea vifo (mortality) kwa daktari au muuguzi mzuri angekushauri uongelee kwanza maradhi (morbidities) coz the latter preceeds the former. Mtoto akifariki kwa pneumonia au meningitis na kama hakunyonya maziwa ya mama hatuwezi sema sababu ya kufa mtoto huyo ni kutonyonya lakini tutakubali kuwa (morbidities) maradhi yalomuua mtoto pengine yamekuwa predisposed na mtoto kutokuwa na kinga imara linalotokana na mtoto kutopata maziwa ya mama.
Nimekaa wodi ya watoto japo sio mda mrefu coz kwa sasa si area yangu of interest, watoto wengi wanaolazwa kwa sababu ya bacterial infections na malnutrition hawakupata Exclusive breast feeding for six months ingawa hata wale walopata Exclusive breast feeding nao hupata bacterial infections
Mwisho: Maziwa ya kopo kwa mtoto mdogo ni bora kuliko ya ng'ombe na maziwa ya kopo si mabaya yakitumika after six months of Exclusive breast feeding.
 
Naombeni ushauri,
Mimi na mke wangu tuna mtoto mdogo wa mwezi mmoja ila mama wa mtoto anakosa muda wa kumnyonyesha kwa sababu muda mwingine anakuwa kwenye vipindi (lectures).

Sasa je, ni salama kiafya kumpa mtoto maziwa mfano (Lactogen 1) tofauti na ya mama kwa muda ambao mtoto atakosa kunyonya?.
Priorities zenu ni zipoje?? Je ni kwenye Familia au kutafuta pesa ambazo baadae mtazitumia kwa kumpeleke huyo mtoto kutibu maginjwa kadhaa ambayo yangezuilika kwa kumnyonyesha vema huyo mtoto wenu?
 
nyumbani tuna mtoto ,mama yake hana ugonjwa ila hana maziwa ya kumtosha dogo. kuna situation zinatokea lazima mtoto apewe maziwa ya kopo.tunachanganya na mtoto yupo fresh tu alhamdulillah!
Mwanangu ana miezi mitatu,maziwa ya Mama yake hayamtoshi,tumeamua kumpa maziwa ya sma kipindi cha usiku na asubuhi,anaendelea poa tu Alhamdulillah
 
Mtoto anapaswa kupata Exclusive breast feeding for six months baada ya hapo anaweza fanya weaning. Si sahihi kumpa mtoto mchanga maziwa ya kopo unless mama yake labda kalazwa ICU kwa mda mrefu au hayupo duniani. Kama mama yuko busy sana anaweza express milk akaacha kwenye bottle akanyweshwa na anayemsaidia kulea mtoto.
Yuko 100% sahihi. Na ndio maana wanashauri kwa miezi 6 mtoto asipewe hata maji ya kunywa just breast feeding only. Lakini mama wa busy na kutafuta wa now days ndio hao wa maziwa ya kopo.
 
Back
Top Bottom