Ni sahihi kupita na binamu?

Ni sahihi kupita na binamu?

Kwa mzinzi na asiye na maadili ni sawa. Mtu unakula binamu halafu unabisha kuhusu DP World?
 
Binadamu sio ndugu
Katika maeneo 15 ya sampuli za vinasaba, maeneo 7 ya sampuli ndiyo mtafanana na binamu yako , hivyo Chembe chembe za vinasaba kwa binamu ni 46% ,sawa na asilimia 0.46 binamu yako kuwa ndugu yako ..

Hivyo huyo siyo ndugu yako.

KAMA UNABISHA NENDA KAPIME DNA NA BINAMU YAKO. ILA UKIFIKA KULE KWA WAPIMAJI USISEME KAMA NI BINAMU YAKO, SEMA NA WASIWASI NA UNDUGU WETU HIVYO NATAKA KUJIRIDHISHA
 
Wajumbe habari zenu?
Hebu tuchakate kidogo hili swala.WANASEMAGA BINAMU NYAMA YA HAMU na kama unavyojua binamu huwaga wa moto sana [emoji847]Sasa wapo wanaoona ni sahihi kupita naye na wapo wanaoona si sahahi.Ambao walishawahi wanasema usithubutu kukutwa yaan n baraaaaaa
#Sasa mwaonaj wanajamvi tushike kipi hapo.
========================================
Japo binamu kiukweli wananafasi yao peponi[emoji23]
≠=======================================================================================================================
#Wataamu wa vinasaba mwasemaj
Wanasema bidamu huwa ni kinyama cha hamu [emoji28]
 
Kwa mujibu wa dini watu ambao ni haram kwako ni dada zako eidha wa baba mmoja au mama mmoja, mama yako mzazi basi hao wengine wote waliobaki ni halali yako tu
 
Uzinzi tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom