Ni sahihi kupita na binamu?

Ni sahihi kupita na binamu?

Didododi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2023
Posts
354
Reaction score
494
Wajumbe habari zenu?
Hebu tuchakate kidogo hili swala.WANASEMAGA BINAMU NYAMA YA HAMU na kama unavyojua binamu huwaga wa moto sana 🤗Sasa wapo wanaoona ni sahihi kupita naye na wapo wanaoona si sahahi.Ambao walishawahi wanasema usithubutu kukutwa yaan n baraaaaaa
#Sasa mwaonaj wanajamvi tushike kipi hapo.
========================================
Japo binamu kiukweli wananafasi yao peponi😂
≠=======================================================================================================================
#Wataamu wa vinasaba mwasemaj
 
Wajumbe habari zenu?
Hebu tuchakate kidogo hili swala.WANASEMAGA BINAMU NYAMA YA HAMU na kama unavyojua binamu huwaga wa moto sana 🤗Sasa wapo wanaoona ni sahihi kupita naye na wapo wanaoona si sahahi.Ambao walishawahi wanasema usithubutu kukutwa yaan n baraaaaaa
#Sasa mwaonaj wanajamvi tushike kipi hapo.
========================================
Japo binamu kiukweli wananafasi yao peponi😂


Muulize Mama yako maana wana undugu na anajua jinsi gani jamii yenu laana zake zimeanzia wapi na mipaka yake.
 
Katika maeneo 15 ya sampuli za vinasaba, maeneo 7 ya sampuli ndiyo mtafanana na binamu yako , hivyo Chembe chembe za vinasaba kwa binamu ni 46% ,sawa na asilimia 0.46 binamu yako kuwa ndugu yako ..

Hivyo huyo siyo ndugu yako.

KAMA UNABISHA NENDA KAPIME DNA NA BINAMU YAKO. ILA UKIFIKA KULE KWA WAPIMAJI USISEME KAMA NI BINAMU YAKO, SEMA NA WASIWASI NA UNDUGU WETU HIVYO NATAKA KUJIRIDHISHA
 
Back
Top Bottom