Ni sahihi kumuoa Binamu?

Mambo ya nyakati hizo yalitokea kwa sababu maalum. Kwani watoto wa Adam na Eva si walioana wao kwa wao?, hatuhalalishi jambo kwa historia

Ninapokataa ushauri wenu pamoja na mimi kuuomba ni kuambatana na majibu yasiyo na mashiko kama haya. Mtu unajibu neno kwa sababu maalumu na huitaji sababu hiyo, eti ni mimi nisikilize ushauri huo. SI itakuwa kituko.
 

Kuomba ushauri hakunifungi nisiwe na akili ya ku-analyze ushauri wako. Hakuna ushauri hata mmoja umeona nasema SITAKI bali kila nilipopinga nimeupinga kwa hoja ambayo tayari ninayo.

Wewe kama ni mjita lete hata mila na desturi nikusikiliza maana kama umenisoma nimesema ubishi uko kwenye mila zetu zinazofanana yaani wajita, waruri, wakara.

Hoja yangu ni kwamba nimeona mtoto wa shangaza anaolewa je, mtoto wa mjoomba vipi?

Kama una jibu lete kama huna jibu usiokote jibu la ovyo eti ukalileta humu tunyamaze.
 
Mkuu hebu fafanua. Nione aibu ya nini kwa mtu ambaye simjuia na ana jina la bandia anaitwa Anita Baby.

Lako ni halisi?????? Kumbato binamu yako kabisaaaa ni ishara tuu umekosa ubinadamu wanyama ndo wanapandanaga had I na mama au baba zao.
[HASHTAG]#sipangiwi[/HASHTAG] cha kuchangia humu.
 
Hatari hii.


Ushaonja 'sumu' bila kujua au kwa kujua halafu ndo unakuja kuomba ushauri kama uendelee kuinywa hiyo 'sumu' kweli?
 
Habarini Wadau

Hivi inawezekana na kuruhusika katika dini (Ya kikristo) mabinamu kuoana?


Wabillah Tawfiq
 
Binam Tuuuu

Watu Wankula Mpaka Watoto Wao Ndugu Yangu..

Hili Niliona Sehem Fran Iv Katika Kunyapia Nyapia Wakawa Wanasema Eti Kabila Lao Baba Ndio Anaetakiwa kumbikin Mtt Wake Wa Kike Mwenyewe

Nikasema Mambo Mengine Bhana
 
Sipajui bwana. Kabila gani?? Ili mimi na ukoo wangu tuhame. Kuna mtoto wa mjomba hapa marshallah
Yan uhame sababu ya binam tu shem? Hahhahhaha mambo haya me nayaona huku pwani tu bara huko sjui kama hii kitu ipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…