Hebu fafanua hapo kwanza! Inawezekana ushauri wetu hapa usiwe na maana yoyote....kifupi me ndo nimemtoa huyo binti kila kitu chake alichopewa na mungu!!..
Ukimalizana na binamu hamia kwa bamdogo au bamkubwa kwani ile hofu tu kibinaadam kwako si ilisha exipaya?
Kama ni kanda ya ziwa, na ni wakerewe, wajita , hao nimeona wengi wameoana Binamu, hata wapare pia kuna baadhi nimeona wameoana Binamu. Ila kiislam unaruhusiwa kuoa mtoto wa mama mkubwa au mdogo, lakini si baba mdogo wala mkubwa.SO NI RUKSA
kwanini mama mkubwa/mdogo na si baba mkubwa/mdogo?
wanasema baba mkbwa na mdogo damu sawa lakkini si mama mkubwa na mdogo, nina maanisha unaweza kuta kila mmoja kaolewa kivyake ( hao wanawake) so wale watoto wanakuwa si ndugu. ila kwa baba ni ndigu. Kiislam inaruhusiwa fuatilia zaidi watakupa ufafanuzi.