Ni sahihi kuagiza uchunguzi ufanyike ilhali waliopaswa kuzuia wizi wakiendelea kuwepo kazini?

Salary Slip

Platinum Member
Apr 3, 2012
49,068
151,316
Hivi ni swali ninalojiuliza na kwakweli sipati majibu!

Tuko seriuos kweli?

Naomba niishie hapa maana nikiendelea zaidi ya hapa naweza kugeuziwa kibao ingawa katiba inanipa uhuru wa kutoa maoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom