passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,519
- 12,488
Nchi yetu imefika hapa kwa sababu ya uongozi mbovu,ufisadi,rushwa,utekaji,uchaguzi wa kishetani,maisha mabovu. watu wanachuki na serikali na CCM. CCM sio chama tena cha mkulima na mfanyakazi. kila mtu ninayezungumza naye ana maumivu makubwa. Tulishindwa kuziba nyufa ,ukuta umeanguka.hakika Mtalipia hizi damu kuanzia kwa aliyetoa Amri nk.