mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,385
- 2,460
Swali tata hili subiria nakuja kukujibu 😂😂Kwa hiyo mkuu,unaishi na mwenzio kwa sababu ya hisia tu?
Ni sababu ipi inayokufanya utafute mpenzi?Je ni kwa sababu ya umri umefika, au ili kuondoa upweke ulionao,au ili kupata watoto,au kusaidiana kimaisha, au ili upate uhakika wa tendo muda wote ukiitaji, au unaiga wenzio wenye wapenzi,au sijielewi?
Tuliza jazba kila mtu ana haki.Wewe ni Sababu ipi ilikufanya utafte mpenz labda?? [emoji848][emoji848][emoji848] mbona Nyuzi zako zaki Kuda kuda tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app