Ni Saa 144 za Kifo cha CHADEMA


Munajitekenya na kucheka. Muna hali mbaya sana ccm. Hayo masaa tuna ona mwanga wa tanzania mpya na yenye neema. Viva Lowassa! Makufuli kwisha kabisa arudi chato akalime.
Ccm haina mvuto tena
 
Kama mngekuwa manabii tayari ingekuwa failure kubwa, maana hicho kifo mmekuwa mnakiairisha mara kwa mara. Lakini kwa sababu nyie ni wanasiasa, tunawapuuza tu!
 
Watanzania wameshaichoka ccm kwa ahad zake ambazo hazitekelezek kila wa2 10 ni wa2 wa 3 au wa 2 ndio wanaipenda ccm lakin wengne ni ukawa dam lowaxa ndo rais we2
 
We naye ueleweki nigga too double standard. We believe in changes.

Sieleweki kivipi wakati muda wote nimekuwa nikisema kuwa CCM itashinda?

Siipendi CCM na wala sijawahi kuipigia kura katika ngazi yoyote ile.

Lakini nikiangalia jinsi mazingira yalivyo hivi sasa, sioni ni jinsi gani ambavyo CCM inaweza kushindwa na ikakubali kushindwa.

Kwa mtazamo wangu, wapinzani walipaswa kuzigomea chaguzi zote kuanzia ule wa 1995 hadi pale tutakapokuwa na tume huru ya uchaguzi na katiba mpya yenye kufaa katika siasa za ushindani za vyama vingi.

Usitegemee kuwaona hao makada wa CCM wanaounda tume ya uchaguzi wamtangaze Lowassa kuwa ndo mshindi wa nafasi ya urais.
 
Baada ya uchaguzi chadema inafutika rasmi ktk ulimwengu wa siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…