Ni Saa 144 za Kifo cha CHADEMA

Ubora

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
664
Reaction score
255
Imebainika kuwa saa 144 zilizobakia CCM na Mgombea wake Dr Magufuli wamezidi kukubalika kwa wanainchi kutokana na sera zinazogusa wananchi wa kawaida.Wakati chama cha Chadema kimezidi kupoteza mwelekeo kwa jamii kutokana na kukumbatia mafisadi na sera zao za vurugu.Saa 144 ndizo zilizobakia kwa Chadema kuendelea kusikika katika ulimwengu wa siasa za Tanzania.
 

Amka kanawe uso kumekucha...japo Ulikuwa kwenye ndoto tamu.
 

Mwangaaa mkubwaaa ndo dua lako!!?
 
Uliyeanzisha thread hii ni waziii Unaweweseka Tulia tuliiiiiii!!!
 
Amin ivyo ivyo hamuibi kura safar hii.
Wafadhili wenu wahind washaanza ama nchi.

We unaongea kwenye keyboard njoo site ujionee ari tete kwa mkoloni weus
 

Mnajitahidi kujionyesha bado mmo kumbe mmekwisha kabisa!!!
 
Ukawa kushnei,kuanzia jumatatu wanaanza kukabana mashati,mbowe kauza chama wengine hawajapata mgao
 

Utakufa weww
 
:bange::bange::bange:za mafichoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…