Ni rais yupi amekufurahisha kiutendaji

Ni rais yupi amekufurahisha kiutendaji

Centrehalf

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2013
Posts
509
Reaction score
145
Salaam wanajamvi.ni marais wa nne (4) toka tumepata uhuru tuliongozwa na hayati baba wa taifa mwalimu j.k.nyrere ,mzee ali hassan mwinyi, mzee benjamin mkapa na sasa tunaongozwa na mh jakaya kikwete.ukimuondoa baba wataifa kati ya hawa watatu mzee mwinyi,mzee mkapa na jakaya kikwete ni yupi anaekuvutia kiutendaji?nawasilisha.
 
Kwa upande wangu naona nafuu ya mzee ruhusa .tulikuwa hauweni .japokuwa naye anakosoro zake nyingi tu lkn ilikuwa nafuu.wa pili mkapa kidogo .alijaribu kupigana rushwa na kukusanya kodi mpaka kuna baadhi ya madeni tulisameewa but mh kikwete hapana hali ni mbaya sana tena sana kama hakuna kabisa serikali kila mtu anafanya anavyojickia nchi inanuka rushwa kila corner .elima ndiyo kabisa hakuna kitu .ni ziro tupu.wazawa tumesaulika kbs rasilimali yote wanapewa wageni kwa kigezo cha wawekezaji.wauzaji madawa ya kulevya kila corner.Tembo wanamalizwa na serikali ipo .Yaani mkuu hali mbaya sana hakuna mfano
 
bora baba wa taifa mwl julias kambarage nyerere..alitubakizia rasilimali ili tuje kufaidi na watoto na wajukuu zetu..si hawa wametuuza mpaka sisi wenyewe
 
Labda atakaye kuja...mpaka sasa bado cjaona.
 
bora baba wa taifa mwl julias kambarage nyerere..alitubakizia rasilimali ili tuje kufaidi na watoto na wajukuu zetu..si hawa wametuuza mpaka sisi wenyewe
We nawe... c umeambiwa umwache Nyerere! au kuna Kambarage wawili?
 
wote wako safi tu, no one is perfect in this world, hata akiwa rais huyo unamfikiria, watu watamtoa kasoro tu hata wewe mwenyewe utamtoa kasoro!!!!!!
 
Back
Top Bottom