ndio nasomesha sasa wananitisha kuwa ntajaachika mkuu wa kurambarambaKitalolo unasomesha?Kubadilika kwa mtu ni tabia binafsi ya mtu hizo factor nyingine hata zikiwepo kama mtu mtulivu ni mtulivu tu na kama ni mcharuko basi twende kazi
waweza achika ndiyo. Nina mifano kadhaa ya watu waliotendwa baada ya kuwasomesha watu wao. Ila usikate tamaa. Daima katika maisha ni ku-risk. Unaweze achika au pengine usiachike. Yategemea tabia ya mtu. Ila uwe tayari kwa lolote. Tenda wema.... nenda zako.
Bi shosti umenena vema mpaka mwenyewe nimekukubali, maelezo yako ni ya ukweli aisee!Hiyo inatokea mara nyingi. Ni kwamba unapompeleka shule unamjengea ufahamu/uelewa, unamuingiza katika mazingira mapya na huko anakutana na watu tofauti tofauti, anajifunza mambo mengi tofauti kutokana na hiyo exposure. Ni katika kipindi hicho ndipo anaweza kujijua aina gani ya mwanaume angependa kuwa nae kwasababu tayari ameshainteract na watu kwahyo anawaelewa vizuri zaidi kuliko mwanzo. Kidogo kidogo anaanza kulinganisha mahusiano yenu na mahusiano ya rafiki au watu wake wa karibu. Anaweza kuhisi kuna vitu ana miss au mahusiano yenu yana mapungufu. Ikitokea hvyo ni rahisi kukuacha na kwenda anapoona ni pazuri zaidi.Hata wale wanaokuwa na wapenzi ambao wapo secondary mfano form1, probability ya kuwa wote hadi amemaliza chuo huwa ni ndogo. Hiyo isikuwe wasiwasi maana watu wanatofautiana.
niko bise nisaidie kuedit.maana nimbanwa sana hapa ofisini nikaamua kuandika chapchap
Hiyo inatokea mara nyingi. Ni kwamba unapompeleka shule unamjengea ufahamu/uelewa, unamuingiza katika mazingira mapya na huko anakutana na watu tofauti tofauti, anajifunza mambo mengi tofauti kutokana na hiyo exposure. Ni katika kipindi hicho ndipo anaweza kujijua aina gani ya mwanaume angependa kuwa nae kwasababu tayari ameshainteract na watu kwahyo anawaelewa vizuri zaidi kuliko mwanzo. Kidogo kidogo anaanza kulinganisha mahusiano yenu na mahusiano ya rafiki au watu wake wa karibu. Anaweza kuhisi kuna vitu ana miss au mahusiano yenu yana mapungufu. Ikitokea hvyo ni rahisi kukuacha na kwenda anapoona ni pazuri zaidi.
Hata wale wanaokuwa na wapenzi ambao wapo secondary mfano form1, probability ya kuwa wote hadi amemaliza chuo huwa ni ndogo.
Hiyo isikuwe wasiwasi maana watu wanatofautiana.