Ni pombe ndio ilinisababishia haya

Acha tamaa mbaya..kweli hiyo miguu yako mitatu na vichwa viwili vinakusumbua
 
Ndo yanatushinda wengine kuwa na mwanaume, kumbe atamtaka na binti yangu lulu;
 
pombe na wewe nani humfuata mwenzio.......? ukipata jibu tukana anaemfuata mwenzie....
 
Sifa ya uana mume hawa ndio wanazidi kuididimiza umehongwa huko umetongozwa huko piga kimya kisha unajisifia? kuna laana nyingine man mikosi ni ya kujirusha kama vifurushi vya voda au zantel
 
Ngono tu ndio kitu pekee tulichonacho vichwan mwetu tu
 
Sijaona logic yeyote kwenye bandiko lako
 

Asante mkuu naona VINA na MIZANI kibao..story iko very palatable!
 
mmmmm.............UNAMSALTI MKEO KISA VIZAWADI? Je mpaka sasa wajua kama wewe mzima? wakati unafanya hukua ujitambua so hamkutumia kinga c ndio? utajisikiaje kama utamletea mkeo magonjwa ktoka kwa sgr mamy baada ya miaka michache watoto wabaki yatima kisa ya tamaa ya mwanaume,,,,VYA BURE VYAUWA WANAUME KUENI MACHO HESHIMUN NDOA ZENU PAMJA NA WATOTO WENU PIA
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…