Ni polisi au mwanajeshi?

Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani?

Mkuu hio ni kazi ya Jeshi, Police wamekuwa trained ku brush viatu tu na kunyoosha.. hizo huwa ni kazi wa wale walio train KUUA na sio hawa wa kujeruhi.

Utani na Ukweli umo humo humo, Jibu limeeleweka
 
Kuna rafiki zangu wawili ni police waliwahi kwenda operation uko sudan kusini kwa vipindi tofauti kila mmoja alikaa kwa mwaka mzìma ila walikuwa chini ya AU na sio UN. Police wanaķuwa katka law enforcement
 
Toka enzi za JK.POLISI,JU,zimamoto,uhamiaji wote wana pita JKT kwanza ndio waende huko.
Sasa huko kujiona bora sijui kunatokana na nini wakati wote wako sawa tofauti ni jezi na majukum tu.
Kama hicho unachosema ni kweli, hii tofauti ya kimaadili na weledi wa utendaji wa kazi zao unauelezeaje? Ukiangalia comments za wadau hapa ni wazi kabisa kuna tatizo kwa hawa polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wote wana enda peace keeping training na majaribio polisi wanafunzu vizuri tu.kwa taarifa yako darful polisi wapo.
Darfur hakukuwa na VITA, ila MACHAFUKO, ulishasikia Polisi au zima moto au Magereza kafia kwenye battle huko Darfur au Kongo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hicho unachosema ni kweli, hii tofauti ya kimaadili na weledi wa utendaji wa kazi zao unauelezeaje? Ukiangalia comments za wadau hapa ni wazi kabisa kuna tatizo kwa hawa polisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
kumbe unaangalia comment za wadau nasema ivi ao jwtz wangejaribu japo kwa wiki moja kufanya kazi za polisi nakwambia wanaweza fanya vibaya zaid ya polisi wenyew

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Polisi ndio wahusika wa Ulinzi wa Amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…