KhaaaaaUliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?
Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.
Wataihonga nchi kwa waasiUliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?
Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.
Hivi unawajua polisi? Au unaonana nao tu wakiwa mtaani.
Kazi ya kulinda amani na mipaka ya nchi ni kazi ya mwanaume haipaswi kupewa mvulana.Wataihonga nchi kwa waasi
Huwa wanatumika wote .JAMANI SAMAHANI KIDOGO NAJUA KUNA WAJUZI KIDOGO KWENYE HILI Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani? au wanahusika wote kila mmoja na sekta yake au anae husika ni mmoja then mwingine hausiki???....please mwnye uelewa naomba mnijibu..[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja Polisi waje wakutolee mapovu lkn nakuomba usinisemee kuwa mimi ndiye niliyekushtakia kwa hao Ma-poti[emoji850]Uliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?
Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.
Hawawezi kutoa povu kwa sababu hata wao wanajua walivyo.Ngoja Polisi waje wakutolee mapovu lkn nakuomba usinisemee kuwa mimi ndiye niliyekushtakia kwa hao Ma-poti[emoji850]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaaaaUliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?
Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.
Kwenye kutuliza amani sijui ila kulinda amani wote huwa wanaenda.JAMANI SAMAHANI KIDOGO NAJUA KUNA WAJUZI KIDOGO KWENYE HILI Hivi kwenye Operation za kutuliza Amani sehemu kama Kongo Au somalia chini ya UN hivi Kati JW na POLIS anaehusika zaidi ni nani? au wanahusika wote kila mmoja na sekta yake au anae husika ni mmoja then mwingine hausiki???....please mwnye uelewa naomba mnijibu..[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Toka tukio la Mwangosi naona saizi wamebadili mbinu
true!!!Polisi wapo pia mkuu...kuna polisi wetu walikua sudan sijui kama walisharejea
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Uliwahi kusikia polisi wanalinda amani kupitia UN au unaongelea Interpol?
Polisi hawa uwapeleke Kongo wasivyokuwa waadilifu si watauza hata viatu vyao watembee peku mbugani.