Truth will Remain
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 254
- 126
acha kuwategaNimekuwa nikipendwa ama kutakwa na wake ama wapenzi za watu
nimekuwa nikiwakimbia ila mh!! Nashindwa wengine inabidi niwarukie tu
nifanyaje ili niwakimbie ama wasinitake tena?
Nimekuwa nikipendwa ama kutakwa na wake ama wapenzi za watu
nimekuwa nikiwakimbia ila mh!! Nashindwa wengine inabidi niwarukie tu
nifanyaje ili niwakimbie ama wasinitake tena?
Akiliwa jicho hawezi kuja kutusimulia itakuwa siri yake!Na ukiliwa jicho tafadhali njoo utuulize ni nuksi au bahati!
Nimekuwa nikipendwa ama kutakwa na wake ama wapenzi za watu
nimekuwa nikiwakimbia ila mh!! Nashindwa wengine inabidi niwarukie tu
nifanyaje ili niwakimbie ama wasinitake tena?
Akiliwa jicho hawezi kuja kutusimulia itakuwa siri yake!
waite wote kwa pamoja waeleze kwa sura ya jwtz kwamba huwahitaji!
sio unaongea kama unalamba kungwi bana!
Humu MMU kuna viswahili vigumu sana, kungwi ni kama ice cream au ni nini?
ka' JERRY,
kama wewe ni mpenzi mzuri wa mapenzi (sijui kama umenielewa hapo!),
nadhani utakuwa ushakutana na hili tunda, KUNGWI!
kazi yake kuu hasa, likishaliwa hulegeza macho na kuwa ROMANTIC and SEDUCTIVE!
yani jicho likizungushwa, linakuwa kama halizunguki vileee!!!! dah!
omba usikutane na mla kungwi mzuri, utatoa sadaka yako yote!!