Wana jf nauliza,mtu anapokaa kwenye kiti,na kupandanisha miguu yake,mara nyingi watu husema jamaa kakunja nne,ila wanasahu sifuri aliyoikalia na kufanya iwe arobaini.akikunja mwanamama ni 400,cause kuna zero 2 zimejificha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.