Mtumaji ndiye inabdi awe nje ajisajili kukutumia wewe uliyeko tanzania.mpokeaji huna haja ya kujisajili utapokea pesa kwenye simu kama unavyopokea mpesa au tigo pesa.Habari wakuu!
Naomba msaada ,ni njia ipi ya uhakika ya kupokea hela kutoka nje iingie kwenye simu?
Au ni app gani ,hasa kutoka Europe au Asia?
Nimeangalia world remit Ila kwenye kujisajili kwenye list za nchi Tanzania haipo ,naomba msaada.
.
Mwambie atumieHabari wakuu!
Naomba msaada ,ni njia ipi ya uhakika ya kupokea hela kutoka nje iingie kwenye simu?
Au ni app gani ,hasa kutoka Europe au Asia?
Nimeangalia world remit Ila kwenye kujisajili kwenye list za nchi Tanzania haipo ,naomba msaada.
.
Tanzania ipo. Unaweza kutumia Send Wave pia (M-Pesa na Airtel Money)Habari wakuu!