Ni njia ipi ya uhakika kupokea hela kwenye simu toka nje

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Habari wakuu!

Naomba msaada ,ni njia ipi ya uhakika ya kupokea hela kutoka nje iingie kwenye simu?
Au ni app gani ,hasa kutoka Europe au Asia?

Nimeangalia world remit Ila kwenye kujisajili kwenye list za nchi Tanzania haipo ,naomba msaada.
.
 
Mtumaji ndiye inabdi awe nje ajisajili kukutumia wewe uliyeko tanzania.mpokeaji huna haja ya kujisajili utapokea pesa kwenye simu kama unavyopokea mpesa au tigo pesa.
Anaweza pia tumia Xoom
 
Habari wakuu!

Naomba msaada ,ni njia ipi ya uhakika ya kupokea hela kutoka nje iingie kwenye simu?
Au ni app gani ,hasa kutoka Europe au Asia?

Nimeangalia world remit Ila kwenye kujisajili kwenye list za nchi Tanzania haipo ,naomba msaada.
.
Mwambie atumie
(1) MoneyGram Unapokelea Benki
(2) Western Union Unapokelea Benki
(3) Sendwave (no fee) inatumia M-Pesa na Airtel Money na unapokea pesa instantly..kwenye simu yako
9$0 World Remit M Pesa na unapokea instantly kwenye simu yako
 
Habari wakuu!

Naomba msaada ,ni njia ipi ya uhakika ya kupokea hela kutoka nje iingie kwenye simu?
Au ni app gani ,hasa kutoka Europe au Asia?

Nimeangalia world remit Ila kwenye kujisajili kwenye list za nchi Tanzania haipo ,naomba msaada.
.
Tanzania ipo. Unaweza kutumia Send Wave pia (M-Pesa na Airtel Money)
 
Back
Top Bottom