Ni njia gani ya kurudisha uaminifu baada ya usaliti?

mwakwetu

JF-Expert Member
Jul 29, 2007
789
289
How to regain a "trust" after broke it.

Habari za jioni? Wengi wetu tumepitia wakati mgumu wa usaliti katika mahusiano.

Sasa je ni vipi utaweza kurudisha uaminifu au ukaweza kumuamini aliyekusaliti?
 
Last edited by a moderator:
Mwamba ukishavunjika na nyumba yangu ikadondoka sitorudi tena kujenga nyumba ingine hapo...
 
Trust inaweza kurudishwa kwa matendo

N.B kama unajijua we ni waruwaru na upo kwenye mahusiano..Mfanye mpnz wako asikuamini sana
 
How to regain a "trust" after broke it... habari za jioni? Wengi wetu tumepitia wakati mgumu wa usaliti katika mahusiano sasa je ni vipi utaweza kurudisha uaminifu au ukaweza kumuamini aliyekusaliti?
Usimuache mwenzio kwa sababu yoyote ile isipokuwa kwa uzinzi.
 
Trust is like an eraser it gets smaller and smaller after every mistake..

Trust is like a glass once broken it will never be the same again...

Trust takes years to build, seconds to break and forever to repair...
Ni hayo tu, jiongeze.
 
Kama msaliti me,
Mkabidhi mkeo cm zako,
Ukiamka asubuhi osha vyombo ndo uende kazini na akupeleke na kukurudia jioni na gari kama unalo.
Akikufikisha hom fua nguo,upike na utenge mezani mle.
Fanya haya miezi 3 atakuamini mwakwetu sawa!
 
How to regain a "trust" after broke it.

Habari za jioni? Wengi wetu tumepitia wakati mgumu wa usaliti katika mahusiano.

Sasa je ni vipi utaweza kurudisha uaminifu au ukaweza kumuamini aliyekusaliti?
Ni unyenyekevu tu. Hakuna njia nyingine
 
Unataka umuamini wa nini sasa,just live your life samehe ila sio trust its too expensive to give it for free...
 
HAKUNAAAAA...And once a cheater is always a cheater. Wakati mwingine katika maisha mtu inabidi ufike mahali ujiheshimu, ujitambue na ung'amue kwamba you don't need nobody to make you happy or to complete your life.

On the other side, kama ni mtu mwema, ni rafiki yako, mmetoka naye mbali na future yako na yake vimefumana sana basi unaweza kuamua kuanza upya. Mahali pazuri pa kuanzia ni open communication. Mwambie wazi kabisa awe open nawe hata kama bado anao wengine huko nje aseme tu. Mkiwa na open communication mengine yatafuata otherwise atakuumiza tena na tena!
 
Last edited:
Back
Top Bottom