Ni njia gani wanatumia kukuibia hapa?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,200
6,384
Naomba kuuliza kwa uongo kama huu ambao nimeupata kwenye Email
mtu anatumia njia gani hapa kukuibia ?

Assalamu alaikum!

Things are becoming unbearable for the Muammar el-Qaddafi family. I know you will be listening through Aljazeera and CNN. On June 27, the International Criminal Court in The Hague issued arrest warrants for Colonel Qaddafi, his son Seif al-Islam and his chief of intelligence, Abdullah Senussi who is my father.
Our family is now bent on getting all we could lay our hands on to make sure that our future wherever we go to is being protected. The international community wants everything confiscated but we have these few funds in some security companies in four different locations that was deposited without the family’s name.
This is where we want to partner with you. We are so scared of who to trust and who to talk to on this matter.
At the moment, I can only tell you that I am Mr Faziz the third son of Alj Abdullah Senussi . I will give you further information about myself and negotiate a percentage (%) of the amount that will be giving to you after the sum is transferred to you and I come to your country for sharing.
I contacted you because you are a Muslim like me and I found your email on the internet directory. If you don't want to assist us, please keep this information to yourself only. It took us a lot of time to even get in touch with you.
Get back to me with your full names, address and contact telephone for further clarification.
I am writing from an internet cafe . Please reply to my private email address: ( abdullahfazi1950@aol.fr ) so that I can give you more details regarding the four different locations the funds are deposited in other to know the location easier for the funds to be channeled to you.
I await your response.

Abdullah Sanussi Faziz
 

serio

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
7,259
4,556
hahahaa,.badae atakuomba umtumie dola elf-kadhaa kumlipa lawyer wa ku p3ocess affidavit, kuonga benki n.k ukishatuma anakata mawasilianooo
 

Mr.creative

JF-Expert Member
Aug 8, 2011
493
113
baadae atakuomba umtumie number ya a/c ya benki ,vitambulisho and then watafanya uhalifu kwa kutumia particulars ulzowapa. Tafakari and then chukua hatua
 

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
9,494
9,894
Please reply to my private email address: ( abdullahfazi1950@aol.fr ) so that I can give you more details regarding the four different locations the funds are deposited in other to know the location easier for the funds to be channeled to you.
I await your response.
Abdullah Sanussi Faziz

Cha kujiuliza hapa, we mtu atakwambiaje kwamba fedha zitatumwa kwako hivi hivi tu! Mtu ukisha weka maanani kwamba katika dunia yetu hii " don't kid yourself nothing is for free' hukisha likamata hilo hakuna tapeli yoyote anaweza akakuzengua.

Hizi ni mbinu za Wanageria, wameliza watu wa rangi zote duniani - mimi nimewahi kuona watu wenye heshima zao na akili timamu wanakuwa victim wa ulaghai huu, Serikali ya Nigeria ilisha onya dunia kuhusu utapeli huu wa kimataifa lakini watu hawasikii hasa wakina mama na wengine huwa wanaona aibu ku-report police/Interpol wanakufa na tai shingoni. Wana mbinu za kila aina, kwa mfano wiki iliyopita nilipata SMS kutoka Uingereza ikiniarifu kwamba nimeshinda bahati nasibu ya watu wenye simu za NOKIA (na kweli nina simu ya nokia) nimefanikiwa kupata kitita cha pound Stering:430500 (kwa hela za Tanzania ni zaidi ya million mia nane na ushee): Sasa angalia mtego wao, wanasema niwatumie E-mail yangu ya kweli alafu watanipa maelekezo, mimi nilisha gunduwa janja yao nikawatumia E-mail fake, wakanitumia form ya kujaza kama attachment wakasema niwatumie namba ya passport yangu na picha au driving license na picha na account yangu ya Benki! sikuwajibu maana nilijuwa watatumia details zangu kufanya uharifu popote nikasingiziwa mimi, vile vile wangeweza kukomba hela zangu kama nige wapatia account yangu ya Benki. story hilikuwa ndefu sana nimefupisha hili watu wawe makini na mbinu hizi za Wanageria, na wana a very refined English mtu huwezi kuamini kama ni Wanageria.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,801
24,508
kuna jamaa walimuambia aende SA wakakamilishe deal. wakampeleka 5* hotel, kila siku wanakuja kula na kunywa nae.then wakamuambia kuna docs haziwezi kuachiwa unless wanalipa some amount of money. jamaa akampigia mkewe tanga, akauza some stuff,clear out savings zote akamtumia dola elfu kadhaa. japo hazikutosha jamaa wakamuambia tutaangalia na sie cha kufanya. wakasepa jumla. mwishi wa siku jamaa anastukia katapeliwa, hotel bills zote, ma-whisky waliyokua wanakunywa kwa tots na dinner kila kitu charged to his room! ilibidi harambee ifanyike,na ubalozi uingilie kati jamaa atoke hotelini. hakuna free lunch bandugu!
 

Pota

JF-Expert Member
Apr 8, 2011
2,018
710
aisee hawa watu very brave usipokuwa makini.... mi kuna mmoja nachati naye
kajitambulisha kuwa ni yatima 4rom liberia anapenda kuolewa tz na ameoteshwa kuwa
mie ndo wake hasaa.. anameniomba hela ya paspoti nikamchomolea,
akaja na gear ya plane ticket dollar 500 ndo naendelea kum enjoy.
baadhi ya maneno yake ni. MY HUSBAND TO BE I AM WAITING
FOR U TO UNSEAL MY ORGAN, I AM VIRGIN, THIS SHOWS
HOW I LV U, hizi ni photoz zake. linda.jpg linda..jpg
 

Attachments

  • my love3.JPG
    my love3.JPG
    143.4 KB · Views: 29

mtznunda

Senior Member
Sep 15, 2011
146
19
Du mtoto mzuri ww ka vp mwambie nakufuata huku kwa kina george weah n william fanbullah
 

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,112
152
Mi niliwahi kutumiwa barua kuwa nimeshinda lottery $150,000 nikaagiziwa na check ya $3487.58 barua ikadai niwapigie kabla sijazibenki. Ile kupiga nikaambiwa nizibenki kisha niwapihie next day wanipe detail za ku claim pesa ilobaki. Nilipopiga wakadai niwaagizie pesa($2700) za insurance ya lile fungu lililobaki kutumia western union. Hapo ndo nikafumbua macho. Kumbe check ilikuwa fake. Kidogo ninyee ndoo!
 

Keren_Happuch

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
1,878
914
Nami nilikuwa najiuliza hilo swali. Siku moja nikaamua kuwajibu...............tukaendelea na mawasiliano, mpaka waliposema pesa zako ziko kwa insurance company, kwahiyo inatakiwa kulipa some money ili zile pesa zitoke............basi nikapata jibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom