mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,642
- 3,653
Jamani naomba kupata ufafanuzi juu ya kitambulisho cha utaifa na kadi ya mpiga kura ni kipi kati ya hivi kitatumika katika kupiga kura 2015?
Au ni vyote vitatumika kama ni hivyo idadi itazidi kupungua ya wapiga kura ili kuiondoa ccm kwenye ulevi wa madaraka...
Au ni vyote vitatumika kama ni hivyo idadi itazidi kupungua ya wapiga kura ili kuiondoa ccm kwenye ulevi wa madaraka...