Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,695
- 1,696
Kuna Mdau aliwahi kuuliza maswali katika thread moja iliyoko hapa: https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/102386-wanaume-nisaidieni.html.
Katika maswali hayo kulikuwa na swali moja la msingi:
"Huwaga Wanaume mnataka nini hasa kwa msichana,yani focus yenu kubwa ni nini? Sex, Feelings, Company au ni Nini?"
Ni nini Wanaume wanahitaji au wanataka kutoka kwa Mwanamke inatofautiana toka Mwanaume na Mwanaume na pia inategemea na mazingira yaliyowakutanisha.
Nimejaribu kufanya research ndogo. Source ya research yangu ni Mitandao na pia uelewa wa yale ambayo nimeyasikia toka kwa Wanaume wengine. Kwa ufupi hizi ni baadhi ya vitu ambavyo Wanaume haswa wale Walio juu ambao any Woman would love to be with au Husband/BF Materials wanahitaji:
1. Wanaume wote wameumbwa na ujasiri na wakati mwingine it is fun kwamba kuna baadhi ambao basi tu wanapenda kupata Mwanamke ambaye wanaamini kuwa ni mgumu kumpata. Hapa nitatoa mfano ambao wakati niko chuo, ilimlazimu kijana moja Mpenda Watoto lakini ambaye kuna binti wa Kilokole alimkataa kwa ajili ya ukware wake; Aokok naye na kutangaza ndoa na Yule binti ili mradi tu ampate. Baada ya miezi 6 alifanikiwa na bila ya shaka hitaji lake lilikamilika.
2. Wanaume wanahitaji Wanawake wenye afya njema: Kimwili; Kisaikolojia; Kihisia na Kifedha. Wanawake wengi ni tegemezi katika mambo hayo na hili linawaweka katika nafasi mbaya mara Mwanaume anapogundua kuwa huna vigezo hivyo. Wengi hawatakwambia ila wataishia tu.
3. Wanaume wanapenda Wanawake wazuri kwa mwonekano Macho; Mwili standard wa kibantu; nywele nzuri; mwili msafi ndani na nje na ngozi laini au nyororo isiyo na vipele au spots.
4. Wanaume wanataka Wanawake ambao ni Wakweli ambao wanaweza kuaminika kwa kila wanaloongea liwe jema au baya. Wanaume wengi wana multiple partners lakini hawategemei Wanawake wanaowadate wawe na partners wengine. Ukifanya utafiti wako, mfano Mwanaume wa umri wa miaka 30 utakuta katika maisha yake anakuwa amewapitia wanawake wengi kuliko wale ambao mwanamke amewabadilisha.
5. Wanaume wanataka Wanawake wenye uelewa wa mabo mbalimbali. Ukiwa una interest zinazofanana na Mwanaume basi ni +point kwako. Hakuna Mwanaume anayependa kumdate Mwanamke muda mrefu kama hata akimpeleka Dinner hakuna Maongezi.
6. Wanaume wanataka wanawake ambao watakuwa wanafanya effort ya vitendo ya kumfurahisha. Suprises za nguvu lakini bila kumgangamalia.
7. Wanaume wanataka Wanawake ambao kila wakati Wanaonekana maridhawa na wako smart na pia juu katika Mwonekano wao. Hakuna Mwanaume smart hasa wa mjini atataka kudate binti ambaye ni outdated. Kumbuka sign nyingi zinazowavutia Wanaume ni Mwonekano wako.
8. Wanaume Wanataka wanawake ambao wana PASSION ambayo itamfanya Mwanaume akutafute tena. So girls spoil your man ukipata nafasi hiyo.
9. Wanaume hawapendi wanawake wenye majidai na majigambo kuliko uhalisia wao.