Ni nini unatakiwa kukijua kwanza?

Ni nini unatakiwa kukijua kwanza?

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,974
Reaction score
13,432
Habari dhenu waungwana,ni hivi ikiwa wewe unamtembelea yeyote yule awe rafiki/ndugu nyumbani kwake lkn unategemea kulala ktk nyumba hiyo je?ni kitu gani cha KWANZA unatakiwa ukijue.
1.jiko
2.chumba cha kulala
3.choo
4.muda wa msosi
5.jinsi ya kufunga/kufungua mlango
6.muda wa kuamka/kulala/kurudi nyumbani
7.unatakiwa ulale na silaha kama kisu/panga
Au ni nini hasa unatakiwa ukitambue kwanza sababu wao kama binadamu wanaweza kufa usiku ambao wewe umefika ktk nyumba hiyo.
Nawasilisha
 
ulivyotaja kwenye sredi ni natural huna haja ya kuelezwa zaidi ya kuoneshwa. NADHANI DO NOTS au miiko ndiyo ya muhimu zaidi,
ntarudi baadae kuichungulia hii sredi
 
Unatakiwa ujue jinsi wanavyoishi kiujumla.
 
Habari dhenu waungwana,ni hivi ikiwa wewe unamtembelea yeyote yule awe rafiki/ndugu nyumbani kwake lkn unategemea kulala ktk nyumba hiyo je?ni kitu gani cha KWANZA unatakiwa ukijue.
1.jiko
2.chumba cha kulala
3.choo
4.muda wa msosi
5.jinsi ya kufunga/kufungua mlango
6.muda wa kuamka/kulala/kurudi nyumbani
7.unatakiwa ulale na silaha kama kisu/panga
Au ni nini hasa unatakiwa ukitambue kwanza sababu wao kama binadamu wanaweza kufa usiku ambao wewe umefika ktk nyumba hiyo.
Nawasilisha

Namba 3.
 
Miiko ya nyumba hiyo ndio ya muhimu sana kuijua kabla ya chochote kingine!!
 
Back
Top Bottom