Ni nini tofauti ya speed katika vyombo vya moto

In summary.
Ulikuwa una maanisha pound feet of torque (pulling power) ndo imesababisha gari yenye 140kph kushindwa kuipita gari yenye 100kph?
 
Kilo 100 za pamba na kilo 100 za sukari ipi nzito?????
 
Naona unachanganya kati ya nadharia kasi(speed) na vifaa vya kupimia kasi. Kwa kasi ilele siyo ajabu vifaa vikaonesha kasi tofauti. Tofauti ya vipimo inatokana na sababu kadhaa ikiwemo obovu wa kifaa(assembly error),mazingira ya kupima( environmental error), mwisho random errors .
 
Ninachokwambia Huyu mwenzangu wote kulikuwa safari moja na alikuwa anataka kunipita ila alichemka na sio kwamba gari yake mbovu na ndio maana nikaanza kwa kuuliza speed 100 ya Pikipiki ni sawa na speed 100/ya gari
Huwezi kupata jibu sahihi bila kuhusisha huyo aliyekua anaendesha hiyo gari unayosema ilishindwa kukupita akwambie tatizo nini

Lakini baadhi ya sababu inaweza

1. gari ina speed 220 lakini hawezi kuendesha speed hiyo

2. Gari inaweza kuwa na speed 220 lakini ina matatizo ya kiufundi pengine inafika 120 haiongezeki zaidi
 
Hii akili au matope, hata kama gari ina speed 500 na nyingine ina speed 100 wa mia atakuwa mbele kama atakimbia spidi 80 na wa 500 akikimbia spidi 50 wa 500 ataachwa mbali sana.

We ndio hujaelewa
 
Nimenufaika
 
Kilo 100 za pamba na kilo 100 za sukari ipi nzito?????
Tabu ya mtanzania akiulizwa swali na yeye anauliza swali hii yote ulete dhana ya kubishana tu kama unadhani nimeuliza swali la rahisi ungejibu kwa hoja sio hiki unachotaka kukifanya
 
Hii ni balaa, nadhani kuna haja ya JF kuwe na jukwaa la Sayansi kamili,

Kilo moja ya mawe na kilo ya pamba ipi nzito?, speed ya 100km/hrs kwa chombo chochote ziko sawa
 
Hii ni balaa, nadhani kuna haja ya JF kuwe na jukwaa la Sayansi kamili,

Kilo moja ya mawe na kilo ya pamba ipi nzito?, speed ya 100km/hrs kwa chombo chochote ziko sawa
mmmmh!!! 80km/h ya bus na 80km/h ya bodaboda vyote vikiwa vimechanganya inamaana vitakuwa sawa!?
 
mm bado sijakuelewa na ninaona kama wachangiaji wanachanganya mambo?? hiyo gari yenye speed kubwa 220 ilishindwa kuwapita kwa sababu haikuwa au haikufikia speed zaidi yamliyokuwanayo nyie.

ila kama gari zote zitaendeshwa kwa speed 1 zikiwa zishakolezwa speed labda 80 mwenye gari ya speed 220 na 180 mkazipa umbali point A mpaka B kwa mda fulani zitembee kwa speed hiyo bila kubadili basi zote zitafika point B kwapamoja.

lakini mkisema wote muanze point A kwa speed 0 na kufika point B kuna mmoja anaweza kuwahi kufika kwa factor alizozungumzia mdau hapo juu??


labda tungejaribu kujua na kufafanua utofauti wa speed zinanzo andikwa kwenye dash board huwa unakuwa hasa kwenye nini?? maana kuna magari yanakuwa na engine ya aina moja lkn speed inakuwa tofauti??
 
this is best answer ever;;; asipoelewa tena na hapa basi tena
 
yaaani kwa maelezo ya huyu mtu kamaliza maswali yote, big up kwa ushirikiano.
 
Unapotosha maana halisi ya mada, 100kph na 90 kph logical n practically mwenye 100kph atakuwa speed zaid
Namaanisha mmoja kumpita mwingine! Mwenye speed 100kph atakuwa mbele ya mwenye 90kph! Lkn kwa mfano gari inaposlip c itasoma speed kubwa lkn iko palepale? Kwa hiyo bc pikpik ni nyepesi inapokinzana na upepo kuna nguvu inapotea kwa kutokukanyaga ardhi kwa %100 kutokana na wepesi wake! Lkn gari kutokana na ukubwa wake itakuwa nguvu inayopotea ni kidogo kulinganisha na pikpik! Pia tunaongelea wakati wa mwendo na c kwa uwezo wa speed ya gari kwani gari inaweza kuwa na uwezo wa 220kph lkn dreva wakati huo akaenda mwendo wa 80kph!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…