Ni nini tofauti ya rufaa na rufani

Unaweza kuelewa hiyo tofauti kwa huu mfano mdogo.

Nyumba na Nyumbani.

Nyumba ya Daby.. hapo neno nyumba ni Nomino.

Daby yupo Nyumbani... hapo neno Nyumbani ni kielezi cha mahali.

Kwa muktadha huo basi
Neno rufaa ni nomino
Neno rufani ni kielezi cha mahali kinachoelezea rufaa inapopatikana.

Ni vigumu kuyapa majina maneno yakiwa yapo yenyewe bila kutumika katika sentensi. (Maneno ya mwalimu wangu wa kiswahili kidato cha pili)

wataalamu wa Isimu watakufafanulia zaidi mzee.

Mamlaka ya nini sasa? Kila mahakama inamamlaka yake kwa uwezo uliyopo kisheria. Mahakama ya rufani ndiyo babalao. Ila ngazi yoyote ya mahakama unaweza kukata rufaa kwenda mahakama kubwa ijayofuatia kingazi.
 
haposawa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…