Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini Wadau,
Nimewahi kufika na kukaa kwa muda katika maeneo ya kibosho na huru kilimanjaro kwasababu za kikazi,nimeona asilimia kubwa ya wenyeji wa huko wana meno yenye rangi yaani isiyokuwa myeupe pee,na wengine meno yao yana utando mweusi.
Nimesikia mara kwa mara kuwa sababu ni wingi wa flouride katika maji wanayotumia,ila hata kuwa na utando mweusi ni sababu ya flouride au kuna sababu nyingine?
Pia ni nini suluhisho kwao waliokuwa tayari wana meno ya hivyo ukubwani?
Nawasilisha.