Ni nini msimamo wa Prof. Shivj juu ya Zanzibar

Ni nini msimamo wa Prof. Shivj juu ya Zanzibar

Geza Ulole

Platinum Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
75,757
Reaction score
107,205
Wajameni naheshimu mengi ya mawazo ya huyu Prof. ila naomba kujua anasimama wapi juu ya masuala ya zanzibar na muungano! maana kuna suala la kujifunga bao la kisigino lets say kama akiwa kiongozi wa kamati maalum ya katiba Mpya! naomba tulijadili kulijadili kistaarabu simchukii mtu na mimi nimfuatiliaji wa articles na vitabu vyake kwa sana
 
Shivji ni nani? Kwa nini anaweza kuwa kiongozi wa kamati?

Kwa nini tumjadili Shivji?
ni prominent scholar kwenye sheria na kama unafuatilia mijadala ya katiba utaona uzito wake kwenye hili swala!
 
Back
Top Bottom