Ni nini kinamwandama Dr. Chami?

Ee mwenyezi mungu wamalize wale wote walioiba kura za wanyonge ktk uchaguzi wa 2010.
 
The guy is not fit,I saw him on Tv kwa kweli need time to take care of his health not politics.
 
Taarifa za ndani zinasema Chami ni moja ya Kifaa alichoachiwa JK na Mkapa lakini ameshindwa kukitumia ipasavyo kama alivyokua akikitumia Mkapa.

Chami huyu ndie aliyepiga mahesabu ya Ajira Milioni Moja kwenye uchaguzi wa 2005 na jinsi ya kupatikana kwake lakini kwa kua ndani ya CCM ya JK hakuna kusikilizana, basi mambo ndo yakawa vile mlivyosikia ajira za kufungua vizibo na kusukuma mikokoteni.

Dr Chami ndie aliyekua akiandaa hotuba za kiuchumi za Mkapa kwenye mikutano ya kimataifa na hata mipango mingine ya kiuchuni hapa nyumbani aliyokua akifanya Ben Mkapa origini yake ni huyu huyu Chami.

Mkapa alimuamini kwani aliambiwa fika na maprofesa wa chuo alichokua anasoma huyu Chami uko Canada kuwa ni mtu muhimu kwa kudrive uchumi na kama Mkapa asipomtumia basi wao wangemtumia Canada.

Kwa bahati Mbaya siasa za CCM ya leo ni za makundi na ndio maana Mchumi huyu anaonekana si chochote wala lolote.
 
kama hamuhui chami ni kilaza wa kutupa, na mkumbatia mafisadi acha kabisa, kule jimboni mwake mafisadi wamewapora wananchi wa uru mawela ile hotel ya kiilema kyaro na hakuweza hata kutoa taarifa ya kushutumu hata alipoombwa msaaada alidai hao ni wazee usiwaguse, alikuwa kilaza pale udsm , pamoja na kujidai kuwa alikuwa ni best degerr udsm walikataa kumwajiri akakimbilia REPQA,


chami anaweza kuwasaidia watanzania kwa kusema ukweli kuhusu kinachomuuma, ili awe mfano hai katika ngazi ya uwaziri kuupiga vita ule ugonjwa, ajitangaze rasmi sasa hivi na asiogope kuwa waziri kuumwa ule ugonjwa ni nongwa ila kwa walala hoi ni sharti wakitangaze mnazi mmoja, anajua kinachomuuma, na ameshaambiwa aach kudanyanay watu
 
Mbona sasa watu wote wanaoonekana wa akili zao wanaugua magonjwa ya ghafla? Au ni mgonjwa siku nyingi? Maana ukweli pekee ndio utakaotuweka huru. Sio hawa maopportunist waliojaa kila angle siku hizi
 
The guy is not fit,I saw him on Tv kwa kweli need time to take care of his health not politics.
Anatia huruma sana, amebadilika, kweli anatakiwa apumzike na ashughulikie zaidi afya yake! Nilimwona pia!
 
Tumwombee apone vijimbe dhidi yake sio wakati wake huu amedhoofu sana na mimi nimemuona.
 
Dr. Chami ni mmoja wa wachumi wazuri tulio nao hapa nchini. Mlio na historia ya mitandao ya kijamii mtakumbuka michango yake makini katika forum ya TANZANET akiwa mwanafunzi Canada. Ben Mkapa alimwomba rasmi na binafsi kurudi nchini ili kumsaidia alipokuwa Ikulu. Ana kichwa kizuri sana na amebobea katika mifumo ya uchumi isiyoongozwa na siasa.

Kosa moja alilifanya ni pale alipoamua kujiunga na siasa za vyama. Yeye angefaa sana kuwa gavana wa benki kuu kuliko kuingia katika siasa uchwara za kitanzania. Uwezo wake si kufanya kazi na rais kama Kikwete au Edward Lowassa. Huyu angefaa kufanya kazi na maraisi wa aina ya Salim A. Salim, Dr. Slaa, Mwandosya na pengine Ali Karume.
 
Ee mwenyezi mungu wamalize wale wote walioiba kura za wanyonge ktk uchaguzi wa 2010.

Ndugu yangu wewe nawe kama kiumbe uliyeumbwa na kufa kama wengine na pia ukiwa umetenda makosa na dhambi nyingi duniani hakuna mtu anayeomba uondolewe hapa duniani. Jaribu kuwa na roho ya upendo kwa wenzako. Mungu ni mwema na anasemehe.
 
Jamaa anaumwa jamani acheni utani anajikaza kiume tu.
 
Sasa naye kwanini aliacha kazi yake akakimbilia ubunge ?huko alikokuwa si kulitosha ku drive huo uchumi?
 

Hii ni kasoro, sio sifa nzuri. Atakuwa basi ni mfujaji na malaya mbaya sana. Yaani mtu kutokuwa na gari tayari si fisadi; hapana, si kweli.
 
du jamani huo ugavana wa Benki kuu angeupataje? si bora alivyoingia katika siasa maana ni yeye pekee wa CCM Moshi mjin, moshi vijijini n.k na kuumwa kwenda india sio kwamba wameMMWAKyEMBE mbona ZITTO naye alienda INDIA kwa ajili ya kichwa na pua? Mrema pia hivi sisi humu tuna uwezo wa kwenda tibiwa huko si mpaka tupitie hizo posho za 330,000/=
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…