Ni nini kinachomuogopesha Magufuli ndani ya chama chake CCM?

Ni nini kinachomuogopesha Magufuli ndani ya chama chake CCM?

Hii inaonyesha
1. Magufuli hakupita kwa kura aliye pita kwa kura ni Amina hill wote tunajua kwa sababu amina alipewa kura zote na kambi ya lowasa.

2. Hii inaonyesha pia Lowasa alishinda kura za uchaguzi mkuu, ndio maana ana haha kuhakikisha lowassa anapoteza ushawishi.

Hajui tuu, hao anao wafukuza sio mizimu sahihi ya lowassa, mizimu ya lowassa yenyewe bado IPO ndani ya ccm na mingine anakula nayo .

Kumfuta lowassa ndani ya ccm, inabidi ukifute chama chote. ...

Hii laana haita toka ccm, watu pekee waliotakiwa kusikilizwa ni kinana na mangula.
 
Unaweza ukanipa short brief ya ubadilishwaji wa katiba ya ccm kuna vtu vipi vimefanyiwa marekebisho, nilikuwa mbali kidogo sorry lkn..!!
 
Ninavyoona mkulu kuna uoga flani unamtatiza sana kwenye chama chake tokea niijue CCM mpaka nafika hapa sijawai sikia fukuza fukuza kwenye chama cha mapinduzi. Na sababu inayopelekea fukuza fukuza hii ni kutokana na utofauti wa mitazamo ukionekana unaenda kinyume kimtazamo unaonekana msaliti.
...

Unarukia mambo usiyoyajua. Laiti ungepitia Katiba ya chama, ukaona vifungu vilivyokiukwa kabla ya kuandika hisia zako hizo.

Wewe ni nani kuwasemea hao unaodai wamekumbwa na fukuza fukuza.
 
Nimeangalia ile Video Clip ya wajumbe wa NEC waliokuwa wakiimba "Tuna imani na Lowassa" nikamwona na Kasimu Majaliwa(PM) kimtindo naye alikuwa akiimba tuna imani na Lowassa, tena pale kwenye Chorus ndio kabisaaa.

Nawaza tu, ipo siku Magu ataichungulia hiyo Clip vizuri na kuchukua hatua stahiki....
hataki kuiangalia itamtia machungu, lakini siku akiiangalia, tutarajie uteuzi wa pm mpya.
 
Ninavyoona mkulu kuna uoga flani unamtatiza sana kwenye chama chake tokea niijue CCM mpaka nafika hapa sijawai sikia fukuza fukuza kwenye chama cha mapinduzi. Na sababu inayopelekea fukuza fukuza hii ni kutokana na utofauti wa mitazamo ukionekana unaenda kinyume kimtazamo unaonekana msaliti.

Je hii ni haki kweli? Watu kuimba wana imani na lowasa ni jambo ambalo linaonekana lilimuuma sana mkulu. Je kufanya hivi ni kufanya wanachama kuwa waoga na kufata kila kitu mkulu anataka au kweli ndo mabadiliko ya kweli ya chama?

Nasikia kuna uwezekano wa katiba kubadilishwa baadhi ya vipengele ikiwemo Mwenyekiti wa chama awe anapita bila kupingwa unafika uchaguzi wa kumpata mwakilishi wa chama kugombea urais.

Je huu siyo uoga ambao unamtesa mkulu akihisi kuwa ikitokea uchaguzi 2020 anaweza asipite au ni nini maana yake.

Naomba kuwasilisha.
Kuogopa ni ujanja
 
me naacha move iyendelee mpaka ccm wabaki watatu mkulu, first lady na body guard
 
Tatizo Mm nililonalo mkuu.. Ni usaliti upi maana issue nzm Inaonekana kujikita kwenye wale walioimba tunaimani na lowasa! Kama huo ndo unaitwa usaliti basi kunauwezekano kwa kubaki ma yes man tu.. Na hapo mkulu akipiga hata chafya tu watu wanaufyata.. Kwa mwenendo huu atakuwa anafanya anavyotaka... Tuwe makini jamaani akitoka chamani anarudi kuishughulikia nchi kama sio tayari ashaanza!
hovyoooo!
 
Yaan huko mkutanon kika anaemtizama anaona kama vile anaimba anaiman na lowasa
 
Hakuna kitu kinamuogopesha kama uwezekano wa kuondolewa kwenye kiti cha enzi
Rejea kupiga mikutano ya wapinzani marufuku,kuzuia bunge live nk.
Woga alionao Bashite kuukosa u RC ni sawa kabisa na wa huyu jamaa
Hivyo atafanya kila awezalo kuondoa tishio lolote
 
Lowasa ni tishio kubwa kuwahi kutokea hapa Tanzania kwa wanaCCM wa kanda ya ziwa, kanda ya kati.
Na bado ni tishio, hapo magugu maji kapotezea kitu cha 2020 kwa sababu anajua alipotokea sasa anajiimarisha.

Tusubiri 2025 kama hajabadilisha katiba tena mapemaa
 
Uoga ndo unamsumbua mkulu wetu....anawatia wanachama uoga hata wa kuhoji....maana ukionekana unaenda kinyume na matamko ya mkulu utaitwa msaliti......
Anayetaka kuhojihoji aende chadema huko wako huru sana.
 
Back
Top Bottom