lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,485
Hii sio marekani tuijuayo,
-Imekua taifa pole sana,imekua inatoa ahadi haitekelezi,
-Marekani imezeeka au vijana wamekua? wameanza kuwa wabishi sasa?
-ninaposema vijana wamekua namaana mataifa yaliyokua madogo zamani sasa yameendelea na kuwa nauwezo wa kuibishia marekani?au marekani imezeeka na madogo sasa wamekua vijana ,haiwezi kuwaonea tena?
-zamani marekani ikiahidi kupiga nchi fulani haipiti wiki kabla ya nchi fulani hiyo kuchukua kichapo,iwe marekani peke yake au kwa kushirikiana na NATO.
-Lakini sasa nchi vijana kana korea kaskazi,iran zinzjifanyia zinavyotaka,
-mareakni iliionya korea kaskanii isjaribu silaha zake za nyukilia,korea ikajaribu,mareakani ikasema itaipiga na msemo maarufu wa all option are on the table ukatamkwa na TRUMP,lakini korea wakajibu kwa kauli tata kuwa jaribuni kurusha hata risasi tu pyong yang,wamarekani wakarudisha meli zao nyumbani bila kushambulia na korea ikarusha tena kombora lake.
-marekani ikaitisha irani na kujitoa kwenye mkataba wa nyukilia,mzozo ukakua ,marekani akasema ataipiga iran,kimya,marekani akarusha drone juu ya irani ikapigwa,marekani amekaa kimya.
hii ni mara ya pili,mara ya kwanza walirusha drone ikashushwa na iran kistaarabu na sasa iko jumba la makumbusho la iran,
-marekani alituma makomandoo wake wakaichunguze iran,iran ikawadaka na kuwapiga picha dunia nzima ione ,marekani kakaa kimya.
-marekani ya Trump ilituhakikishia kua Asadi wa Syria lazima aondoke ,asadi bado yupo,marekani kakaa kimya,
-marekani ikasema maduro lazima aondoke na Guaido ndi mshindi wa uchaguzi,maduro bado yupo,marekani imekaa kimya,
-marekani imeikataza mwanachama wa NATO uturuki isisnunue sila kutoka urursi ,uturuki imenunua,marekani kimya.
-imeikataza india isinunue silaha kutoka urusi,india imenunua ,marekani kimya.
-Ndugu zangu kwa haya machache nauliza hivi ni nini kimebadilika? ni uongozi dhaifu wa trump,au mataifa yamekua na nguvu za kuweza kuibishia?
-marekani imefikwa na nini au ndo ishakua hivyo? "to be great again" imestaarabika?
-mareakni imekataliwa na imepingwa kuungwa mkono na mataifa rafiki ya ulaya katika baadhi ya operation za kijeshi ilizotaka kufanya,mfano kuipiga korea kaskazini na iran,je mataifa hayo ya ulaya yameiidharau au yameanza kujitambua au yamekua?,kiburi hicho cha uturuki na mataifa hayo ya ulaya dhidi ya marekani kaka mkubwa wanayatoa wapi?
ni mimi mwanaharakati huru wa kimataifa,LEE.