Ni nini kimeiangamiza shoprite. ?

Mandela nielewe vizuri wanaonunua kwa bei rahisi ni jamaa wa wafanyakazi na wanajuana na wa ndani pia

wabongo hii laana ya wizi na ujanjaujanja inaangamiza Taifa
 
Hakuna mtanzania anaeweza kuiendesha hii?? Hawa wakenya hawa?
 
Labda kama hujui shoprite ni kampuni yenye shareholders wengi south africa na kimsingi wapo weusi shareholders akiwemo msouth africa anaitwa Maponya(Tembo kwa kiswahili) ila kimsingi kuna mtikisiko kwenye utendaji wa kampuni na hasa tangu kuanzia july 2013. Walielekeza shares kwwnye uwekezaji eneo jingine halijaperfom vyema
 
Vilevile nasikia bidhaa nyingi zilizokuwa zinakaribia kuexpire ndo walikuwa wanaziingiza sana nchini baada ya TRA&TBS/TfDA kushtuka, waliharibu sana mizigo yao na kuirudisha, nackia walitufanya km ndo dumping place!
 
Wabongo mnatarii sana shoprite baada ya kununua bidhaa hadi zinaexpire,. No profit,. what next?? kusepa tu,.
 
Hakuna mtanzania anaeweza kuiendesha hii?? Hawa wakenya hawa?

Sisi tulifunga maduka ya Supermarket yoote badala yake tukaanzisha 'maduka ya ushirika' !
Yalipotushinda, yakaibuka maduka ya Warombo na Wapemba !........bahati mbaya hawakuweza kukuwa.
Nakumatt ilianza kama Duka dogo la familia !
 
hata nakumat watakimbia, watz watasusa bidhaa zao kwa sababu huuza kwa bei ya ghali
 
Sisi tulifunga maduka ya Supermarket yoote badala yake tukaanzisha 'maduka ya ushirika' !
Yalipotushinda, yakaibuka maduka ya Warombo na Wapemba !........bahati mbaya hawakuweza kukuwa.
Nakumatt ilianza kama Duka dogo la familia !

Ila maduka ya kienyeji mara nyingi yanakuwa kidogo halafu yanakufa
 
 
Kama Arusha ndio basi tena,
hakuna supermarket ya maana japo ni mji wa kitalii.
 

Nakupinga, sikubaliani na wewe hata kidogo. Ile barcode ikishasomwa na machine zinakuja description ya hiyo bidhaa na inakuwa printed umenunua mkate (including production date, expiry date, batch no. Size/weight, quantity etc.) Sasa kama wanaweka label ya mkate kwenye nyama kwa nini ile receipt isisome umenunua mkate badala ya nyama?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 

A bit complicated isn't it
ukisoma vizuri utaelewa wanaoiba ni team nzima ambayo inawahusu anaeweka code, anaeweka kwenye shelf, anaenunua na aliekaa kwenye till, wote hao wanajuana na sio mmnunuzi mwingine. Anaweza hata akawa ameweka pembeni mzigo uliochakachuliwa na team mate anapokuja anatolewa
 
Kwanza hiyo hata ikifirisika sisi walala hoi haituhusu, ungeniambia magenge yanafirisika hapo ndo ningeumia sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…